Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Duh!Huyu dogo ni Yanga mwenzangu sema yupo karibu sana na Hersi. Mpaka watu wanamhisi vibaya. Maana mpaka anambebea simu zake sometimes. Hatumwelewi kabisa. Before alikuwa na manara lakini naona kama kaamua kukomaa na Injinia peke yake.