Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

Kweli kabisa.
 
Wanang'ang'ana kula walimaharege bila kujua hatima yao wajukuu wa mzee Spunda.
 
FT DRW
YA MAGOLI
AL AHLY ATAPITA ..
1-1/2'-2
 
Sio poa.

Jamaa lina pace moja ya hatari sana.

Ndugu zetu makolo wataanza kulalamika na kusema achunguzwe asije kuwa kawekewa mapafu ya farasi.
Kuna muda walisema wanatumia booster za kuongeza nguvu [emoji23]
 
Weka Bond mkewako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…