Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sisi wengi tunashabikia timu hizi za Kariakoo, lakini huyu mwenzetu kiwango cha ushabiki wake kimepitiliza...Huwa ana ujingaujinga mwingi sana kichwani na mwilini mwake.
Ni sawa na wale ambao hufikia kiwango cha kuwaweka bond wake/wapenzi wao kisa ushabiki wa mpira 🙌