Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

Amka Baba Ile ilikuwa ndio fainali.Safari hii tunavaa Dhahabu sio Yale mabati yenu😂
Huwa ninawakubali kwa jambo moja tu. Miaka yote huwa mkishinda game moja au mbili basi mnaona tayari hakuna wa kuwazuia hadi fainali na kuchukuwa kombe. HAKIKA HUWA NINAPENDA SANA MZUKA WENU. NAJUA MTAANZA TENA KUJIONA NI LEVEL MOJA NA BARCELONA

Shirikisho hoyeee
 
FB_IMG_17270688489862014.jpg
 
Huwa ninawakubali kwa jambo moja tu. Miaka yote huwa mkishinda game moja au mbili basi mnaona tayari hakuna wa kuwazuia hadi fainali na kuchukuwa kombe. HAKIKA HUWA NINAPENDA SANA MZUKA WENU. NAJUA MTAANZA TENA KUJIONA NI LEVEL MOJA NA BARCELONA

Shirikisho hoyeee
Then baadaye wataanza....hatumtaki mgunda
 
Ni kama ulisema utani support [emoji32][emoji32][emoji32]

Ama kweli usuamini binadamu[emoji24][emoji24]
😂😂😂 hadi nimecheka. Lol.

Kikubwa ban imeisha hayo mengine yaache tu Mkuu.
 
Jirani kwa hiyo rangi yako kutoka Dubai, utapendeza mno kwenye Uzi mwekundu wa Mnyama

Sema ndiyo nimtume mjumbe akuletee 🤗

Kumbuka red is the color 💪
Weeee! Akuuu!! 😂😂😂

Acha nikusalimie tu jirani. 🚶‍♀️‍➡️
 
Ni nadra sana kukutana na mtu wa Yanga akawa na akili timamu ndo maana wamekua wepesi kumuamini Haji Manara
 
Huwa ninawakubali kwa jambo moja tu. Miaka yote huwa mkishinda game moja au mbili basi mnaona tayari hakuna wa kuwazuia hadi fainali na kuchukuwa kombe. HAKIKA HUWA NINAPENDA SANA MZUKA WENU. NAJUA MTAANZA TENA KUJIONA NI LEVEL MOJA NA BARCELONA

Shirikisho hoyeee
Hoyee tunaenda kutafuta point Baba hatuna cha kuloose. Kumbuka Shirikisho ndio lilikutoa kwenye rank za Vitalo SASA hivi na wewe unaogopeka. Hata Roma haikujengwa Kwa siku moja. Mashindano hayo muhimu 'consistence' Kitu ambacho Azam kakikosa.
 
Hakika upo sahihi. Simba ina nafasi kubwa mbili kwenye mashindano haya 1. Kufika Fainali 2. Kuchukuwa kombe.

Wakiishia njiani wajilaumu wao wenyewe.
 
Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika kwenye viwanja vidogo maana mnamnyima raha..Jamaa beki na mbele..yaani anaanza mpira nyuma alafu kdg unamuona kwenye box anamwaga maji[emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]

Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]View attachment 3102682
Kupigwa miti ndiyo itapendeza sana
 
Back
Top Bottom