Sijawahi kuona hii kablaAisee wamempa ban kweliππ Mods hamtaniwi hata?π
Hata mimi nimeshangaaπ ahadi ni deniπSijawahi kuona hii kabla
akirudi siku ya tatu kama alivyo andika basi na apaizwe na life banTena aliomba bando la ban la siku 3ππ so atarudi jtatuu
Mods hawana hiyana ukiutaka wanakupa uruke nao, mbwiga limeomba ban wakampa sawa sawa na ombi lake.Sijawahi kuona hii kabla
Muoneeni huruma jamani life ban siyo, hii itakua imemfundisha kitu hatorudia kuweka ahadi ngumuπakirudi siku ya tatu kama alivyo andika basi na apaizwe na life ban
Kwanza sahizi raia wanakucharazia hadi mod anaona aibuMara kibao tu mbona, zamani ndiyo walikuwa wanakausha ila siku hizi hawakuachi.
BannedAsalamaleko