Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kama kawaida Yanga tunaenda mchukua mwali wetu tujimwaye mwaye naye msimu huu wote. Leo ndo tunakabidhiwa mwali.
Naweka hili bandiko hapa. Simba ikitokea leo ikamfunga Yanga niwe banned kwa wiki 2 mfululizo. Najua kuna watu wanaweza jiua kwa kukosa nyuzi zangu za kuelimisha hapa jukwaani. Wacha iwe hivyo.
Nimecheck video ya mtu aliyeenda kwa sheikh kufanya kisomo. Inaonesha Simba Mikia wanachangwa na Ngao ya Jamii inabaki Jangwani. Hilo halina shaka. Utabiri wangu haujawahi kosewa hata siku moja.