Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Jamaa mnafki sana wewe, yaani umeiona Simba imefanya usajili wa maana? Ngoja uone Mpanzu na Maena wanavyotiwa kwenye mfuko wa shati tena leo.Mchezo wa derby ya Yanga na simba siku zote haujawahi kuwa mwepesi. Na ni kosa kubwa sana kwa mashabiki kuingia na matokeo yao mifukoni. Mbaya zaidi timu zote mbili zimefanya usajili mzuri msimu huu.
Ila mwisho wa siku naitakia Yanga ushindi.
Hahahaha. Mods wamekalishwaNani sasa akupige ban?
Mods wenyewe wamekuwa banned na Tcra
Ni wazi Simba inaenda kupoteza mchezo wa leoKama kawaida Yanga tunaenda mchukua mwali wetu tujimwaye mwaye naye msimu huu wote. Leo ndo tunakabidhiwa mwali.
Naweka hili bandiko hapa. Simba ikitokea leo ikamfunga Yanga niwe banned kwa wiki 2 mfululizo. Najua kuna watu wanaweza jiua kwa kukosa nyuzi zangu za kuelimisha hapa jukwaani. Wacha iwe hivyo.
Nimecheck video ya mtu aliyeenda kwa sheikh kufanya kisomo. Inaonesha Simba Mikia wanachangwa na Ngao ya Jamii inabaki Jangwani. Hilo halina shaka. Utabiri wangu haujawahi kosewa hata siku moja.
SIYO INAWEZA.Ni wazi Simba inaenda kupoteza mchezo wa leo
Nani sasa akupige ban?
Mods wenyewe wamekuwa banned na Tcra
Sijatumia neno "inaweza"SIYO INAWEZA.
INAPOTEZA. PERIOD.