Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama.
Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe kidogo.