Muulizeni shabalala anaijua shughuli yakeKi azizi ile team aliyotoka wengi walikuwa nyota na ndio maana aliwika,kaja huku kwenye bahasha anapata taabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siasa za mpira wakaingia choo Cha kikeSimba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama.
Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe kidogo.
Mkataba wa miaka miwili ukiisha atakuwa ameshawapiga 480mWajinga ndio waliwao. Mkuu , Ukila na kipofu usimshike mkono
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Huyo anarukaruka tu na kuwapiga 980m kwa miaka miwiliHuyu yupo kwaajili ya kuwanyoosha simba tunamwachaje?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Gari waliyompa waanze kubadilisha spairs partsJamaa wanatakiwa kuachana na Aziz kwa ujanja
Duuuh kwa kazi yake ya kutoa meno tuuMkataba wa miaka miwili ukiisha atakuwa ameshawapiga 480m
Pilipili usiyoila yakuwashia nini!!Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama.
Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe kidogo.