Simba iliachana na Dejan, Yanga wasione aibu kuachana na Aziz Ki

Binafsi naamini Ki ni mchezaji mzuri, labda kocha ndio anashindwa kumtumia
 
Wewe ni msenge
 
Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe kidogo.
Utopolo wachukue huu ushauri haraka sana.
 
"....na hili nalo kalitizameni kwa ukaribu zaidi..."
 
Ugali moto , mboga moto, maji ya kunywa moto , sahani moto

😀😀😀
 
Ugali moto , mboga moto, maji ya kunywa moto , sahani moto

😀😀😀
Basi Aziza naye apelekewe moto.
bora apelekew moto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…