SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi.
Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli mafanikio hayo.
Ila ningependa kukumbusha tu, Simba mwaka 1974 walifika hatua ya nusu fainali katika kombe la klabu bingwa Afrika wakiwa na wachezaji kama Omar Mahadhi na Abbas Dilunga.
Picha mbili za juu ni kikosi cha Simba cha 1974 kilichofika nusu fainali ya kombe la klabu bingwa Afrika.
Nimeona hata admin wa mitandao ya kijamii wa CAF juzi juzi hapa alikosea katika taarifa yake.
Ni muhimu kuweka hizi rekodi sawa. Juzi hapa kuna mtu alikuwa anaongea shiti kuhusu CAF Cup ambayo Simba alifika fainali, nilipomwambia kwa uthibitisho kuwa Yanga alishiriki mara mbili mashindano hayo na hakuvuka hata round ya kwanza amekimbilia kijijini kwao kwa aibu.