HERY HERNHO
Senior Member
- Mar 4, 2022
- 110
- 458
nijuacho kuna timu ilikuwa inaitwa simba ya huko uganda ndiyo ilifika semi kipindi hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna watu wanaongoza kwa mdomo humu jukwaani na mitandao mingine kama makolo. Yan kufika tu robo fainali mlitusumbua sana eti rekodi halafu saivi unasema nini wewe?Unadhani Simba ni utopolo kitu kidogo tu - record!!Hata hii hatua ingekuwa utopolo wameingia mara mbili tu kelele zake watu wasingekunywa maji
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe hiyo robo umefika?????si umefurushwa hatua za awali na al hilal huko wakakosokomezea kwenye LUZAZ KAPU??????mbona hamna aibu kujifananiaha na asiyefanana nanyi....Hakuna watu wanaongoza kwa mdomo humu jukwaani na mitandao mingine kama makolo. Yan kufika tu robo fainali mlitusumbua sana eti rekodi halafu saivi unasema nini wewe?
Maswala ya Yanga FC hayakuhusu lakini unawashwa washwa.Nimeshangazwa na UKIMYA wa VIONGOZI wa YANGA wa kutomwambia KOCHA wao NABI kuwa KLABU ya SIMBA haya yote YANGA inayohangaika Kuingia NUSU FAINALI Kombe la SHIRIKISHO Klabu ya SIMBA ilicheza FAINAL na Klabu toka Ivory Coast ikiitwa Stella na Mwaka 1993 .Pia SIMBA ilishacheza NUSU FAINAL na Klabu kutoka MISRI ikiitwa Mehara mwaka 1974.
Ni VEMA Kocha NABI akaambiwa Ukweli asidhani ETI Yeye ndio wa Kuifundisha SIMBA kuingia NUSU FAINAL bali awe wa Kwanza Kuipeleka YANGA Nusu Fainali na sio SIMBA .VIONGOZI wa YANGA msione AIBU kumwambia UKWELI yeye na WATENDAJI wengine kwani Wanaifananisha YANGA na SIMBA kitu ambacho HAKIPO
kwani REKODI zilizowekwa na KLABU ya SIMBA ni ngumu sana KUZIVUNJA kwa KLABU ya YANGA.View attachment 2604911View attachment 2604912View attachment 2604914
MPIRA NI HISTORIA USIJITOE FAHAMU KWANI PELE MARADONA WANATAJWA LEOSimba hakuwahi kucheza nusu fainali wala fainali ya shirikisho. Ila hilo la klabu bingwa upo sahihi ni kweli aliwahi fika nusu fainali mwaka 1974.
Lakini kwanini tutumie record ya zamani wakati tunaishi sasa?
Tunahitaji record ya kipindi hiki ya sasa haina maana, hata Ac Milan waliwahi kuwa mabingwa wa champions league mwaka 2007 ila kwasasa hakuna anayeiona timu ya maana kwavile hawana ubavu tena wa kubeba mataji sembuse timu iliyoishia nusu fainali tena miaka ya 70
Yanga mbumbumbu WANAJITOA UFAHAMUKwaiyo Mnyama Ameshawahi Kufika Nusu 1974, halafu Fainali Michuano Ya CAF 1993.....!
Dah, Watu Wabaya Wala Hawasemi...!
Tatizo YANGA mnajitoa UFAHAMU rekodi za SIMBA NI NGUMU SANA kwa YANGA kuzifikia SIMBA TIMU KUBWAHizi nadharia zimenza juzi juzi baada ya kuona mnaelekea kutokea Robo kama kawaida yenu na Yanga anasonga mbele..Mkanza kujazwa Upepo na kale ka dogo ka Morogoro eti mshacheza fainali Facken you all #CHIZI..
Mbona hapo awali mlikua hamujivunii hii rekodi au mlikua hamuijui na kama hamuijui imetokea wapi?
Acheni kujionyesha Ujinga wenu.
#[emoji881]CHIZI
SINDANO IMEGONGA MFUPA SIMBA TIMU KUBWA rekodi zake ngumu YANGA kuzifikiaMaswala ya Yanga FC hayakuhusu lakini unawashwa washwa.
Eleza sababu kuu 1 tu kwanini akili zako hazina akili?
Ndiyomaana umenijibu maana kisu kimekugonga kwenye mfupa kisawasawa [emoji1787]SINDANO IMEGONGA MFUPA SIMBA TIMU KUBWA rekodi zake ngumu YANGA kuzifikia
Ndivyo mnavyodanganyana kuwa CAF cup ndio shirikisho? Haya niambie je huyo mshindi aliyechukua kombe mbele ya Simba alicheza na nani kwenye CAF super cup kama ndiyo ilikuwa ni kombe la shirikisho?MPIRA NI HISTORIA USIJITOE FAHAMU KWANI PELE MARADONA WANATAJWA LEO
SIMBA KACHEZA FAINAL KOMBE LA SHIRIKISHO MWAKA 1993 NA TUMU YA IVORY COAST LABDA ULIKUWA HUJAZALIWA AU HUUJUI MPIRA View attachment 2604951
tutolee huu ujinga hapa...Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi.
Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli mafanikio hayo.
Ila ningependa kukumbusha tu, Simba mwaka 1974 walifika hatua ya nusu fainali katika kombe la klabu bingwa Afrika wakiwa na wachezaji kama Omar Mahadhi na Abbas Dilunga.
View attachment 2578537
View attachment 2578538
Picha mbili za juu ni kikosi cha Simba cha 1974 kilichofika nusu fainali ya kombe la klabu bingwa Afrika.
Nimeona hata admin wa mitandao ya kijamii wa CAF juzi juzi hapa alikosea katika taarifa yake.
View attachment 2578531
Ni muhimu kuweka hizi rekodi sawa. Juzi hapa kuna mtu alikuwa anaongea shiti kuhusu CAF Cup ambayo Simba alifika fainali, nilipomwambia kwa uthibitisho kuwa Yanga alishiriki mara mbili mashindano hayo na hakuvuka hata round ya kwanza amekimbilia kijijini kwao kwa aibu.
Wale walioangalia gemu ya juzi ya Simba vs Wydad kupitia DSTV watakuwa walisikia wakati mpira unaendelea mtangazaji akisema hili nililosema katika uzi huu.tutolee huu ujinga hapa...
Kombe lipi hilo??MPIRA NI HISTORIA USIJITOE FAHAMU KWANI PELE MARADONA WANATAJWA LEO
SIMBA KACHEZA FAINAL KOMBE LA SHIRIKISHO MWAKA 1993 NA TUMU YA IVORY COAST LABDA ULIKUWA HUJAZALIWA AU HUUJUI MPIRA View attachment 2604951
Walishiriki ile kombe ya mnajeria wao wanasema la caf ukiwa uliza ni lipi hawatoi majibu ya kuelewekaNdivyo mnavyodanganyana kuwa CAF cup ndio shirikisho? Haya niambie je huyo mshindi aliyechukua kombe mbele ya Simba alicheza na nani kwenye CAF super cup kama ndiyo ilikuwa ni kombe la shirikisho?
Muwe mnafatilia kwanza mambo sio kuongopeana tu, kombe la shirikisho lilikuwa zamani linaitwa Africa cup winner's cup na mwaka 1993 bingwa alikuwa ni Al Ahly. Kwenye CAF super cup ya ufunguzi wa mashindano ya CAF msimu wa 1994 ikachezwa kati ya bingwa wa shirikisho vs bingwa wa klabu bingwa ambapo ilikuwa ni mechi ya Al Ahly vs Zamalek.