Simba imebadilika sana, kumchezesha kipa namba 3 kwa waarabu nyumbani kwao ni ujasiri mkubwa


 
Bonanza hilo, mchezesheni kwenye ligi au michuano ya CAF.
 
Mi nashangaa watu wanalaumu wakati wale wachezaji 90% ni wakukaa bench hawajawahi kucheza mechi ya pamoja hata moja jana ndo mara ya kwanza ila mashabiki wanavyo lalamika ni kama imeanza first eleven yote vile.
Ni kweli. Ila kwa Dejan tutafakari kwa kina.
 
Haya mmemchezesha no3 mkaambulia nini?mbona mnamlaumu mdhunguuu thatha🤸🤸🤸.Kubalini uwezo mdogo acheni kumsingizia mdhunguuu 🤔
 
Mi nashangaa watu wanalaumu wakati wale wachezaji 90% ni wakukaa bench hawajawahi kucheza mechi ya pamoja hata moja jana ndo mara ya kwanza ila mashabiki wanavyo lalamika ni kama imeanza first eleven yote vile.
Nabado mikia fc mtakipata Cha moto🏃🏃
 
Nabado mikia fc mtakipata Cha moto[emoji125][emoji125]
Tutakipata nini sasa kipa kacheza namba tatu kiungo mkabaji chama halafu unategemea matokea utopolo ndo wanahangaika kupondo ila simba hyo ni kawaida endeleeni kula mihogo coco beach.
 
Yote kwa Yote Zoran ni kocha wa mbinu na anabadilika badilika

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Si ndo hapo mkuu ww unajua mpira kuna kocha wa mbinu na kocha wa mfumo mmoja kwa mfano uchebe yeye alikuwa awe ugenini au nyumbani anafunguka tu ndo maana alikuwa anapigwa 5 kule kwa warabu alipokuja kishingo na pablo walikuwa wanacheza kimbinu team lazima iwe na balance hyo ndo inayomfelisha Guardiola kwenye champions league wakati klopp akimuacha mbali kila msimu kwenye UEFA champions league zoran anacheza kutokana na mpinzani sio mda wote unafungua turbo tu kama uchebe.
 
Nakubaliana na hoja kuwa Simba imeimarika sana.
Nakuona hamnazo kuanza kuteta mambo ya uongozi, kama wewe ni kiongozi, basi fanya kazi yako, acha porojo.

Ni ukweli ulio wazi ambao hata utopolo wanajua kuwa "Simba ilicheza bila wachezaji wake wa first 11 watano au zaidi, na bado ikaipa tabu kubwa tu Al-Hilal kwenye uwanja wake wa nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…