wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Safi,tutaanzia away tena..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Platnum hamna kitu hapo,mikia mshindwe wenyewe tuGame ngumu hii.
Hahahahaa kwa nn sasaTetesi ni kuwa Plateau hawatskuja DSM
sio swala la kupambana, ni kawaida na kitu kidogo sana simba kuingia makundi. sema labda nusu fainaliTumalizie story zote hizi kwa kusema tu kwamba
Simba wapambane waingie group stages
unateseka peke yako, poleeNa caf champions iliopita tulisema hivo hivo lkn hatimae Mambo ndo ikawa Kama tulivo shuhudia
Kwa hiyo hiyo somidep ni ngumu zaidi ya bingwa wa nchi yao.Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia.
Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi Simba ikaze misuli hasa kuvuka.
Wewe ni utopolo FC?Mleta maada mbona kama umekurupuka hivi
haina tofauti na ya jana. wale jamaa wako nondo sana. Simba inaenda kuimarisha kikosi December. nakuwa sina wasiwasi wa kumtoa PlatnumGame ngumu hii.