Simba imeingia kwenye makundi kwa hesabu tu

Simba imeingia kwenye makundi kwa hesabu tu

Na caf champions iliopita tulisema hivo hivo lkn hatimae Mambo ndo ikawa Kama tulivo shuhudia
 
Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia.

Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi Simba ikaze misuli hasa kuvuka.
Kwa hiyo hiyo somidep ni ngumu zaidi ya bingwa wa nchi yao.
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom