themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Unasema imejaza wazee kibao halafu unataja wachezaji wawili. Kuna mwenzio au sijui ni wewe kuna uzi amemtaja Phiri eti mzee, mchezaji ambaye bila majeruhi kumpata angekuwa sasa anaongoza kwa magoli katika ligi.Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.
Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale
Ulishawahi jua kuwa pmja na uzee wa kikosi cha Simba lkn wana magoli mengi kuliko vijana wako?Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.
Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale
Unasema imejaza wazee kibao halafu unataja wachezaji wawili. Kuna mwenzio au sijui ni wewe kuna uzi amemtaja Phiri eti mzee, mchezaji ambaye bila majeruhi kumpata angekuwa sasa anaongoza kwa magoli katika ligi.
Simba ukiichunguza wana vijana wengi sana ambao wakifika kwenye peak yao miaka kama 2 ijayo watasumbua sana Africa hii. Kina Phiri, Baleke, Sakho, Mwenda, Kanoute, Wazanzibari wawili.
Onyango ana miaka 29 mkuu.Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.
Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale
Punguza jazba mkuu, Siunaona unavyo chachawa?Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.
Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale
Umewaona hao tu?Hao vijana kibu ,kyombo,gadiel ndio wakutegemewa kutoka bench?naa aisee hatuna kikosi msimu huu,viongozi wametuangusha sana
Naunga mkono hoja ..ata tukifunga basi tutafunga kwa taabu sana.Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.
Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale
Kwenye ligi kuu Tz bara hiyo Simba unayosema imejaa wazee ipo nafasi ya pili ikiifukuzia kwa karibu Yanga.Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.
Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale