Simba imejaa wazee msitegemee la maana msimu huu

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,033
Reaction score
3,720
Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, Onyango yule ni 40-42, pale kuna wazee kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.

Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale.
 
Tuna mzee wa kumzidi Aucho?.

Ila umeongea point sajili za janjajanja alafu unataka kufika nusu au kubeba kombe la cafcl aiwezekani.
uwezi kufika mbali cafcl michuano ya wababe ukiwa na kiungo aina ya Muzamiru na washambuliaji kama Boco.
 
Boko na kanuti ndo tunawaonaga wachezaji warefu ila jana walikutana na huyu mwamba
Screenshot_20230212-131047.png
 
Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.

Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale
Unasema imejaza wazee kibao halafu unataja wachezaji wawili. Kuna mwenzio au sijui ni wewe kuna uzi amemtaja Phiri eti mzee, mchezaji ambaye bila majeruhi kumpata angekuwa sasa anaongoza kwa magoli katika ligi.

Simba ukiichunguza wana vijana wengi sana ambao wakifika kwenye peak yao miaka kama 2 ijayo watasumbua sana Africa hii. Kina Phiri, Baleke, Sakho, Mwenda, Kanoute, Wazanzibari wawili.
 
Ulishawahi jua kuwa pmja na uzee wa kikosi cha Simba lkn wana magoli mengi kuliko vijana wako?
 
Unasema imejaza wazee kibao halafu unataja wachezaji wawili. Kuna mwenzio au sijui ni wewe kuna uzi amemtaja Phiri eti mzee, mchezaji ambaye bila majeruhi kumpata angekuwa sasa anaongoza kwa magoli katika ligi.

Simba ukiichunguza wana vijana wengi sana ambao wakifika kwenye peak yao miaka kama 2 ijayo watasumbua sana Africa hii. Kina Phiri, Baleke, Sakho, Mwenda, Kanoute, Wazanzibari wawili.

Hao vijana kibu ,kyombo,gadiel ndio wakutegemewa kutoka bench?naa aisee hatuna kikosi msimu huu,viongozi wametuangusha sana
 
Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.

Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale
Onyango ana miaka 29 mkuu.
 
Punguza jazba mkuu, Siunaona unavyo chachawa?
 
H
Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.

Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale
Naunga mkono hoja ..ata tukifunga basi tutafunga kwa taabu sana.
 
Tutajie na umri wa kisinda mkuu, kama hutojali..
 
Mtu kama Bocco kwa sasa hakosi miaka 37-38, onyango yule ni 40-42, pale kuna wazwe kibao na soka la kimataifa linahitaji wachezaji wenye spidi na damu changa.

Timu imekuwa ikivizia wazee wanaomaliza mkataba na kuvizia free sign za bure, kwa ambae anategemea msimu huu Caf tutapata matokeo mazuri nipo nimekaa pale
Kwenye ligi kuu Tz bara hiyo Simba unayosema imejaa wazee ipo nafasi ya pili ikiifukuzia kwa karibu Yanga.

Hizo timu za ligi kuu zenye vijana ambao damu inachemka zipo nafasi ya ngapi vile?

Au wazee ni wakiwa kimataifa tu ila wakiwa ndani ni vijana ambao damu bado inachemka? Too pathetic.
 
Eti timu iliyojaa wazee wakati ndo timu inayoongoza kuwa na magoli mengi ya kufunga kuliko timu yoyote ligi kuu Tanzania bara.

Hao vijana damu inayochemka wamefunga magoli mangapi?
 
Back
Top Bottom