Simba imekiuka kanuni ya TFF

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
TUJIKUMBUSHE KIDOGO.

Kwa mujibu wa kanuni ya 62 ya TFF ya mwaka 2022/23, mchezaji wa kigeni kutoka Amerika ya kusini lazima awe amecheza Angalau ligi kuu au ligi daraja la 1,2 na 3, au timu ya taifa.

Jafferson katoka daraja la 4, je TFF imebadili kanuni zake au hii imekaaje kikanuni?

 
Yaani hili kubwa zima lipo ligi daraja la nne?
 
Mimi ni Mpenzi WA Simba.

Kuna Makosa mengi kwenye USAJILI WA Simba kiufundi.

1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN

Sijajua kwanini Simba WANAFANYA Hivi, INAWEZEKANA wanaiga VILABU VIKUBWA AFRIKA kama MAMelody.

PUNGUZENI WINGA Mmuongeze Bangala kama kiungo na Beki.

2. MANURA ATARUDI si Muda Mrefu.
Gharama walizoingia kwa huyo KIPA mala mia wangembakisha kakolanya.

Otherwise mashindano ni mengi kiungo na Beki hazitoshi.
 
hapana ligi ya brazili ni tofauti sana hio daraja la 4 ni sawa na daraja la kwanza tanzania

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Bangala ana mkataba na Yanga hamuendi kumubeba kama chilunda
 
Daraja la Nne Brazil kwa Tanzania ni Ligi Kuu kabisa hiyo Mkuu. Ukibisha utakuwa na Ubongo wenye Kamasi nyingi na zilizoshindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…