Simba imekiuka kanuni ya TFF

Simba imekiuka kanuni ya TFF

Brazil kuna serie A, B, C na D...sasa tusaidie hayo madaraja yanapangwaje hadi D inakuwa sawa na tatu.
Nenda google kafuatilie vizuri
Nb ligi daraja C brasil ni zaidi ya ligi kuu bara kama unafutilia ligi ya brazil utasadiki maneno haya
 
hapana ligi ya brazili ni tofauti sana hio daraja la 4 ni sawa na daraja la kwanza tanzania

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Kwanza kwa kuanzia huyu golikipa hakuwa anacheza ligi daraja la 4 kama inavyodaiwa!! Hakuna mtu mwenye akili zake atatafuta mchezaji toka daraja la nne ili achezee daraja la kwanza hata kama ni kutoka Brazil!! Binafsi simkubali huyu golikipa lakini hakuwa daraja la 4!!
 
Hakuna kanuni kama hiyo.
Daraja la nne Brazil ni sawa tu au hata zaidi ya ligi kuu Bongo
Yule Gabriel Martinelli wa Arsenal alitokea ligi daraja la nne lakini alisainiwa moja kwa moja Arsenal.

Na sasa ni first eleven pale Arsenal panga pangua.
 
Yule Gabriel Martinelli wa Arsenal alitokea ligi daraja la nne lakini alisainiwa moja kwa moja Arsenal.

Na sasa ni first eleven pale Arsenal panga pangua.
Sahihi kabisa,
Sheria inaweza kua ni kwa baadhi ya nchi ambazo hazijapiga hatua Kwene soka
 
Nenda google kafuatilie vizuri
Nb ligi daraja C brasil ni zaidi ya ligi kuu bara kama unafutilia ligi ya brazil utasadiki maneno haya
Halafu anatokea mbwiga mmoja anakujibu eti ukisema hivi ni kutojiamini na eti ni inferiority complex. Yaani ujiaminishe tu kua uko sawa na Brazil ili tu kujipa moyo wakati moyoni unajua wazi sio kweli?
 
Asaivi magwiji wa sheria wanapambana na #Bandari we unakaa kupambana na mbrazili wa simba

~je wale wablaziri wa singida walikuw wanacheza ligi kuu ligi drj la pil la tatu au timu ya Taifa kule kwao?

-Huo uanasheria wenu mngeuonesha kipindi kile kwenye sakata lenu na morrisoni kule #CAS
 
Kwa hili bado sijajua.

Ila kuna maneno nayasikia kuwa pia kuna sheria inayotaka Kipa kutoka nje lazima awe anadaka National team

Haya maneno bado sijaya hakiki
Awe anadaka national team kama diara yule wa YANGA...HII SHERIA NI NZURI
 
Kwa hili bado sijajua.

Ila kuna maneno nayasikia kuwa pia kuna sheria inayotaka Kipa kutoka nje lazima awe anadaka National team

Haya maneno bado sijaya hakiki
Ni kweli diara ni panga pangua pale mali
 
Back
Top Bottom