Simba imekiuka kanuni ya TFF

Simba imekiuka kanuni ya TFF

Mimi ni Mpenzi WA Simba.

Kuna Makosa mengi kwenye USAJILI WA Simba kiufundi.

1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN

Sijajua kwanini Simba WANAFANYA Hivi, INAWEZEKANA wanaiga VILABU VIKUBWA AFRIKA kama MAMelody.

PUNGUZENI WINGA Mmuongeze Bangala kama kiungo na Beki.

2. MANURA ATARUDI si Muda Mrefu.
Gharama walizoingia kwa huyo KIPA mala mia wangembakisha kakolanya.

Otherwise mashindano ni mengi kiungo na Beki hazitoshi.

Yanga wamemfanyia Bangala uhuni wa kumkomoa. Wangemuacha mapema ni wazi Simba ingemchukua. Hata Lomalisa ukimuangalia vizuri sasa hivi unaona hachezi kwa furaha, naye ni kama wamebaki naye kumkomoa tu. Sitashangaa kukuta wanapanga kumuweka benchi msimu mzima.

Kuhusu kipa, nilitoa ushauri humu nikaonekana mjinga. Nilijua kwa sasa Simba haiwezi kuwekeza pesa nyingi kwa kipa wa akiba wakati wanajua Manula anarudi si muda mrefu na pia hawa kina Ferooz na Salum siyo wabaya kihivyo. Nafasi ya kipa pia si ya kufanyia rotation kwa sana.
 
Mpka sasa Simba ina wachezaji wangapi wa kimataifa mbona hauongelei wawa ache mapema nyie vijana wa Rage u mbumbumbu utawaisha lini
 
hapana ligi ya brazili ni tofauti sana hio daraja la 4 ni sawa na daraja la kwanza tanzania

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Watanzania saa nyingine huwa tunakuwaga na ujinga mwingi. Hoja ni kuwa hiyo Kanuni ndivyo ulivyo kwa sasa au ilishafanyiwa marekebisho? hiyo ya kulinganisha ubora wa ligi haijibu hoja husika.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
TUJIKUMBUSHE KIDOGO.

Kwa mujibu wa kanuni ya 62 ya TFF ya mwaka 2022/23, mchezaji wa kigeni kutoka Amerika ya kusini lazima awe amecheza Angalau ligi kuu au ligi daraja la 1,2 na 3, au timu ya taifa.

Jafferson katoka daraja la 4, je TFF imebadili kanuni zake au hii imekaaje kikanuni?

View attachment 2697313
Subiri nimpigie Simu Karia
 
TUJIKUMBUSHE KIDOGO.

Kwa mujibu wa kanuni ya 62 ya TFF ya mwaka 2022/23, mchezaji wa kigeni kutoka Amerika ya kusini lazima awe amecheza. TFF imebadili kanuni zake au hii imekaaje kikanuni?
Atasajiliwa tu na atacheza. Akina Lunyamila walitoka shuleni wakaingia ligi kuu
 
TUJIKUMBUSHE KIDOGO.

Kwa mujibu wa kanuni ya 62 ya TFF ya mwaka 2022/23, mchezaji wa kigeni kutoka Amerika ya kusini lazima awe amecheza Angalau ligi kuu au ligi daraja la 1,2 na 3, au timu ya taifa.

Jafferson katoka daraja la 4, je TFF imebadili kanuni zake au hii imekaaje kikanuni?

View attachment 2697313
Viongozi wa simba ni zero brain, ni punguani tu anaweza kufanya hiki walichokifanya, unamuachaje kakolanya alafu unakwenda kutumia mamilioni ya pesa kumsajiri kipa anayezidiwa ubora na uwezo na kakolanya? Rekodi za uyu kipa kwakweli zinafikirisha sana labda kwakuwa ni mzungu inawezekana bwana Robertinho ameanza kuwaletea ndugu zake kama ilivyokuwa kwa zolan mak na dejan wake, kwa rekodi za uyu kipa bado kakolanya alikuwa na uwezo mkubwa wa kuisaidia simba ukizingatia na mazingira ya mpira wa kitanzania na Africa, Unakwenda kutoa milioni 300 kwa ajiri ya kumpa uyu na wakati huo ulimnyima kakolanya milioni 100 tu!!!??? Nawaakikishieni manula akirudi anachukua namba yake mazima akuna kipa hapo ni show off tu imefanyika
 
Mimi ni Mpenzi WA Simba.

Kuna Makosa mengi kwenye USAJILI WA Simba kiufundi.

1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN

Sijajua kwanini Simba WANAFANYA Hivi, INAWEZEKANA wanaiga VILABU VIKUBWA AFRIKA kama MAMelody.

PUNGUZENI WINGA Mmuongeze Bangala kama kiungo na Beki.

2. MANURA ATARUDI si Muda Mrefu.
Gharama walizoingia kwa huyo KIPA mala mia wangembakisha kakolanya.

Otherwise mashindano ni mengi kiungo na Beki hazitoshi.
Blaza naomba umtoe Fraga kwenye hiyo list yako, kuwa na adabu kidogo.
 
Huo msitali nilipogigia rangi ni utetenzi mbovu wenye kutawaliwa na kukosa self confidence pamoja na inferiority complex. Msitali wa kwanza ulikuwa unatosha kupeleka jibu lako.
Mstari, sio msitali
Utetezi, sio Utetenzi.

Ligi zinatofautiana viwango, hilo liko wazi.
 
Viongozi wa simba ni zero brain, ni punguani tu anaweza kufanya hiki walichokifanya, unamuachaje kakolanya alafu unakwenda kutumia mamilioni ya pesa kumsajiri kipa anayezidiwa ubora na uwezo na kakolanya? Rekodi za uyu kipa kwakweli zinafikirisha sana labda kwakuwa ni mzungu inawezekana bwana Robertinho ameanza kuwaletea ndugu zake kama ilivyokuwa kwa zolan mak na dejan wake, kwa rekodi za uyu kipa bado kakolanya alikuwa na uwezo mkubwa wa kuisaidia simba ukizingatia na mazingira ya mpira wa kitanzania na Africa, Unakwenda kutoa milioni 300 kwa ajiri ya kumpa uyu na wakati huo ulimnyima kakolanya milioni 100 tu!!!??? Nawaakikishieni manula akirudi anachukua namba yake mazima akuna kipa hapo ni show off tu imefanyika
Ndani ya Uwanja Kakolanya ni mzuri. Lakin inawezekana nje ya Uwanja ana makando kando yake. Au pengine wameshindwana maslahi.

Kama walikubali Ally Salum asie na uzoefu adake mechi muhimu na kubwa kama za Derby na African Championship basi itakua Kakolanya walizinguana kinoma.
 
Utopolo ktk ubora,huo mkataba anautumikia wap?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Wenye mkataba na Yanga walitambulishwa jana.

Bangala hakuwepo
Si mumsajili sasa, shida iko wapi? Kama hujui mikataba kaa kimya tu.

Miquison mmemuokota baada ya wenyewe Al Ahaly kuwave mkataba wake.

Kutomtambulisha mchezaji haina maana si mchezaji wako, ndio maana akikushtaki CAS anashinda kesi.
 
Back
Top Bottom