Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Mimi ni Mpenzi WA Simba.
Kuna Makosa mengi kwenye USAJILI WA Simba kiufundi.
1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN
Sijajua kwanini Simba WANAFANYA Hivi, INAWEZEKANA wanaiga VILABU VIKUBWA AFRIKA kama MAMelody.
PUNGUZENI WINGA Mmuongeze Bangala kama kiungo na Beki.
2. MANURA ATARUDI si Muda Mrefu.
Gharama walizoingia kwa huyo KIPA mala mia wangembakisha kakolanya.
Otherwise mashindano ni mengi kiungo na Beki hazitoshi.
mkataba na kutambushwa kuna mahusiano gani?Wenye mkataba na Yanga walitambulishwa jana.
Bangala hakuwepo
Endelea na ujinga wako sina mda wa kuhangaika na mbumbumbu
Mpka sasa Simba ina wachezaji wangapi wa kimataifa mbona hauongelei wawa ache mapema nyie vijana wa Rage u mbumbumbu utawaisha liniYanga wamemfanyia Bangala uhuni wa kumkomoa. Wangemuacha mapema ni wazi Simba ingemchukua. Hata Lomalisa ukimuangalia vizuri sasa hivi unaona hachezi kwa furaha, naye ni kama wamebaki naye kumkomoa tu. Sitashangaa kukuta wanapanga kumuweka benchi msimu mzima.
Kuhusu kipa, nilitoa ushauri humu nikaonekana mjinga. Nilijua kwa sasa Simba haiwezi kuwekeza pesa nyingi kwa kipa wa akiba wakati wanajua Manula anarudi si muda mrefu na pia hawa kina Ferooz na Salum siyo wabaya kihivyo. Nafasi ya kipa pia si ya kufanyia rotation kwa sana.
Watanzania saa nyingine huwa tunakuwaga na ujinga mwingi. Hoja ni kuwa hiyo Kanuni ndivyo ulivyo kwa sasa au ilishafanyiwa marekebisho? hiyo ya kulinganisha ubora wa ligi haijibu hoja husika.hapana ligi ya brazili ni tofauti sana hio daraja la 4 ni sawa na daraja la kwanza tanzania
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Utokolo wacheni wivu wa kiliberaliMakolo wanaweza kua wamepuyanga
Subiri nimpigie Simu KariaTUJIKUMBUSHE KIDOGO.
Kwa mujibu wa kanuni ya 62 ya TFF ya mwaka 2022/23, mchezaji wa kigeni kutoka Amerika ya kusini lazima awe amecheza Angalau ligi kuu au ligi daraja la 1,2 na 3, au timu ya taifa.
Jafferson katoka daraja la 4, je TFF imebadili kanuni zake au hii imekaaje kikanuni?
View attachment 2697313
Atasajiliwa tu na atacheza. Akina Lunyamila walitoka shuleni wakaingia ligi kuuTUJIKUMBUSHE KIDOGO.
Kwa mujibu wa kanuni ya 62 ya TFF ya mwaka 2022/23, mchezaji wa kigeni kutoka Amerika ya kusini lazima awe amecheza. TFF imebadili kanuni zake au hii imekaaje kikanuni?
Viongozi wa simba ni zero brain, ni punguani tu anaweza kufanya hiki walichokifanya, unamuachaje kakolanya alafu unakwenda kutumia mamilioni ya pesa kumsajiri kipa anayezidiwa ubora na uwezo na kakolanya? Rekodi za uyu kipa kwakweli zinafikirisha sana labda kwakuwa ni mzungu inawezekana bwana Robertinho ameanza kuwaletea ndugu zake kama ilivyokuwa kwa zolan mak na dejan wake, kwa rekodi za uyu kipa bado kakolanya alikuwa na uwezo mkubwa wa kuisaidia simba ukizingatia na mazingira ya mpira wa kitanzania na Africa, Unakwenda kutoa milioni 300 kwa ajiri ya kumpa uyu na wakati huo ulimnyima kakolanya milioni 100 tu!!!??? Nawaakikishieni manula akirudi anachukua namba yake mazima akuna kipa hapo ni show off tu imefanyikaTUJIKUMBUSHE KIDOGO.
Kwa mujibu wa kanuni ya 62 ya TFF ya mwaka 2022/23, mchezaji wa kigeni kutoka Amerika ya kusini lazima awe amecheza Angalau ligi kuu au ligi daraja la 1,2 na 3, au timu ya taifa.
Jafferson katoka daraja la 4, je TFF imebadili kanuni zake au hii imekaaje kikanuni?
View attachment 2697313
Blaza naomba umtoe Fraga kwenye hiyo list yako, kuwa na adabu kidogo.Mimi ni Mpenzi WA Simba.
Kuna Makosa mengi kwenye USAJILI WA Simba kiufundi.
1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN
Sijajua kwanini Simba WANAFANYA Hivi, INAWEZEKANA wanaiga VILABU VIKUBWA AFRIKA kama MAMelody.
PUNGUZENI WINGA Mmuongeze Bangala kama kiungo na Beki.
2. MANURA ATARUDI si Muda Mrefu.
Gharama walizoingia kwa huyo KIPA mala mia wangembakisha kakolanya.
Otherwise mashindano ni mengi kiungo na Beki hazitoshi.
Mstari, sio msitaliHuo msitali nilipogigia rangi ni utetenzi mbovu wenye kutawaliwa na kukosa self confidence pamoja na inferiority complex. Msitali wa kwanza ulikuwa unatosha kupeleka jibu lako.
Ndani ya Uwanja Kakolanya ni mzuri. Lakin inawezekana nje ya Uwanja ana makando kando yake. Au pengine wameshindwana maslahi.Viongozi wa simba ni zero brain, ni punguani tu anaweza kufanya hiki walichokifanya, unamuachaje kakolanya alafu unakwenda kutumia mamilioni ya pesa kumsajiri kipa anayezidiwa ubora na uwezo na kakolanya? Rekodi za uyu kipa kwakweli zinafikirisha sana labda kwakuwa ni mzungu inawezekana bwana Robertinho ameanza kuwaletea ndugu zake kama ilivyokuwa kwa zolan mak na dejan wake, kwa rekodi za uyu kipa bado kakolanya alikuwa na uwezo mkubwa wa kuisaidia simba ukizingatia na mazingira ya mpira wa kitanzania na Africa, Unakwenda kutoa milioni 300 kwa ajiri ya kumpa uyu na wakati huo ulimnyima kakolanya milioni 100 tu!!!??? Nawaakikishieni manula akirudi anachukua namba yake mazima akuna kipa hapo ni show off tu imefanyika
Uhusiano upo maana yake asiyekuwa na mkataba hawezi kutambulishwa kama mchezaji wa Clubmkataba na kutambushwa kuna mahusiano gani?
Brazil kuna serie A, B, C na D...sasa tusaidie hayo madaraja yanapangwaje hadi D inakuwa sawa na tatu.Timu aliotokea Resende iko serie D brazil sawa na daraja la tatu acha uongo futa huo utoko wako
Last season Ngushi hakutambulishwa alikua hana mkataba?Uhusiano upo maana yake asiyekuwa na mkataba hawezi kutambulishwa kama mchezaji wa Club
Ngushi ndio nani?Last season Ngushi hakutambulishwa alikua hana mkataba?
Si mumsajili sasa, shida iko wapi? Kama hujui mikataba kaa kimya tu.Wenye mkataba na Yanga walitambulishwa jana.
Bangala hakuwepo
Unajizima data sasa, mziki wake hukuuona Jumamosi?Ngushi ndio nani?