Wenye mkataba na Yanga walitambulishwa jana.
Bangala hakuwepo
Nmesahau kumbe naongea na mbumbumbuNgushi ndio nani?
Sijui kwa nini watu hawajiulizi hiliKama walikubali Ally Salum asie na uzoefu adake mechi muhimu na kubwa kama za Derby na African Championship basi itakua Kakolanya walizinguana kinoma.
Nenda google kafuatilie vizuriBrazil kuna serie A, B, C na D...sasa tusaidie hayo madaraja yanapangwaje hadi D inakuwa sawa na tatu.
Kwanza kwa kuanzia huyu golikipa hakuwa anacheza ligi daraja la 4 kama inavyodaiwa!! Hakuna mtu mwenye akili zake atatafuta mchezaji toka daraja la nne ili achezee daraja la kwanza hata kama ni kutoka Brazil!! Binafsi simkubali huyu golikipa lakini hakuwa daraja la 4!!hapana ligi ya brazili ni tofauti sana hio daraja la 4 ni sawa na daraja la kwanza tanzania
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Yule Gabriel Martinelli wa Arsenal alitokea ligi daraja la nne lakini alisainiwa moja kwa moja Arsenal.Hakuna kanuni kama hiyo.
Daraja la nne Brazil ni sawa tu au hata zaidi ya ligi kuu Bongo
Sahihi kabisa,Yule Gabriel Martinelli wa Arsenal alitokea ligi daraja la nne lakini alisainiwa moja kwa moja Arsenal.
Na sasa ni first eleven pale Arsenal panga pangua.
Halafu anatokea mbwiga mmoja anakujibu eti ukisema hivi ni kutojiamini na eti ni inferiority complex. Yaani ujiaminishe tu kua uko sawa na Brazil ili tu kujipa moyo wakati moyoni unajua wazi sio kweli?Nenda google kafuatilie vizuri
Nb ligi daraja C brasil ni zaidi ya ligi kuu bara kama unafutilia ligi ya brazil utasadiki maneno haya
Acha uongo weweYule Gabriel Martinelli wa Arsenal alitokea ligi daraja la nne lakini alisainiwa moja kwa moja Arsenal.
Na sasa ni first eleven pale Arsenal panga pangua.
Huo ni uongo banahapana ligi ya brazili ni tofauti sana hio daraja la 4 ni sawa na daraja la kwanza tanzania
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Wewe sema ukweli alitokea ligi daraja la ngapi?Acha uongo wewe
Awe anadaka national team kama diara yule wa YANGA...HII SHERIA NI NZURIKwa hili bado sijajua.
Ila kuna maneno nayasikia kuwa pia kuna sheria inayotaka Kipa kutoka nje lazima awe anadaka National team
Haya maneno bado sijaya hakiki
Ni kweli diara ni panga pangua pale maliKwa hili bado sijajua.
Ila kuna maneno nayasikia kuwa pia kuna sheria inayotaka Kipa kutoka nje lazima awe anadaka National team
Haya maneno bado sijaya hakiki
Panga pangua ya benchi hajawahi kuichezea Mali hata mchezo mmojaNi kweli diara ni panga pangua pale mali
Hii kitu wanaambiwa Kila siku lakini hawaelewi. Mbaya zaidi hata Mwanasheria wa Timu yao nae hajui. Ndio maana alishindwa na Morrison CAS!! Ahahahahaha!!!Timu aliotokea Resende iko serie D brazil sawa na daraja la tatu acha uongo futa huo utoko wako