round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Wakifika nusu fainali watapanda tena ila huko hakuna kukimbia michuano
Ndio Ujue Uto Ni timu au kikundi cha wajinga wajingaHapo zamani za kaleView attachment 3298193
Ukinuna uwe na 7bu, πππππNa ya kwanza kwa ushirikina duniani
Ukinuna uwe na 7bu, πππππ
Poleeeee
Vipii nikuletee maji ushushie hizo hasira? LolKama sio maruhani ni Nini? Mnatokaje pale jamani
πππππππVyura wako hoiiii...
Uchawi wao wote leo umedhibitiwa...
Kila engo ilikua imekamilika...
Wakienda kilingeni wanakuta fayaaa
Wakirudi kwenye maombi etii ooho Mungu wabariki almasry wanakutana na fayaaaa...
Wakababuka tuu
Vipii nikuletee maji ushushie hizo hasira? Lol
ππππππ
Nakuletea chap kwa fastaaa, ππππNingeshukuru kwa kweli
πππππ"Sisi tutakichoma hichi kichaka kesho kwa kuifunga lambalamba"
Alisikika shabiki aliyepandisha majini yenye hasira kali.
Wana hasira hao, kama una jirani, ndugu au rafiki yako mwenye mwiko wake kuwa makini sana, jichunge sana.Mbona Nyuma Kuna Mwiko siwaoni?