Umejibu kwa facts, namba hazisemi uongo.Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
Kuna fact gani na nyie mna kikosi kipana cha bilioni 1.3. Hakuna timu inawafikia kati ya hizo big 5 zilizocheza na Mwadui.Umejibu kwa facts, namba hazisemi uongo.
Vv
Shida ni kuwa, Yanga ilipotoa 0-0 na hiyo timu, matopeni mlichonga sana, sasa nyie mmebebwa, tukisema mnaona nongwa. TulieniAzam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
Safi sana mkuu, lazima tuwapongeze pia Mwadui, sio kupiga kelele tu za kisimba au kiyanga.Azam - Mwadui - Draw

Mkuu sijaweka u simba wala u yanga nmeweka team zote ambazo ziko juu kwenye msimamo wa lig kama una mahaba yako na yanga bakia nayo tu huko hukoShida ni kuwa, Yanga ilipotoa 0-0 na hiyo timu, matopeni mlichonga sana, sasa nyie mmebebwa, tukisema mnaona nongwa. Tulieni
Daaaah hongera sana jamaa.. Yaani wewe ndie umecomment mbolea ya kukuzia kabisa watu hawalioni hili wamebaki Simba Yanga Yanga SimbaAzam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
Ahsante Bonny kwa kuliona hill.Wengine walidroo na Mwadui pale Shamba la Bibi.Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
Huo ni usajili...kinachofuata ni soka ambayo huamuliwa uwanjani.Kuna fact gani na nyie mna kikosi kipana cha bilioni 1.3. Hakuna timu inawafikia kati ya hizo big 5 zilizocheza na Mwadui.