Simba imepiga bismillah kuianza safari

Simba imepiga bismillah kuianza safari

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kinyota Simba jana ilitakiwa kufungwa na Mwadui, penalti imewaokoa. Safari yao ya kuelekea kuendelea kubaki mchangani ndiyo imeanzia pale. Kisingizio ni kuumia kwa Bocco na kukosekana kwa Mkude tu jana, wanasahau kuwa hata Yanga imewakosa Ngoma, Kamusoko, Tabwe, Chirwa kwa muda mrefu lakini hailalamiki sana.

Semen wote Amen.
 
Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
 
Kuna fact gani na nyie mna kikosi kipana cha bilioni 1.3. Hakuna timu inawafikia kati ya hizo big 5 zilizocheza na Mwadui.
Pesa IPO, morale iko juu, wachezaji wako fiti hatutaki kisingizio tena za kubaki mchangani
 
Eti penalty imewaokoa!!!mbona mna vuta mdomo sana kama mke mdogo.basi tulifungwa 2 kwa moja na mwadui nimesha itoa penalty sasa.
 
Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
Shida ni kuwa, Yanga ilipotoa 0-0 na hiyo timu, matopeni mlichonga sana, sasa nyie mmebebwa, tukisema mnaona nongwa. Tulieni
 
Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
Safi sana mkuu, lazima tuwapongeze pia Mwadui, sio kupiga kelele tu za kisimba au kiyanga.
 
Mpira unamatokeo matatu simba wamepata moja kati hayo so tunaendelea kupambana mpaka kuchukua kombe
 
Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
Daaaah hongera sana jamaa.. Yaani wewe ndie umecomment mbolea ya kukuzia kabisa watu hawalioni hili wamebaki Simba Yanga Yanga Simba
 
Azam - Mwadui - Draw
Yanga - Mwadui Draw
Mwadui - Singida - Mwadui won
Mwadui - Mtibwa - Mwadui won
Mwadui - Simba - Draw
Sometimes tuwe tunaipongeza mwadui kwa kupata haya matokeo from big 5 teams za kwenye league yetu sio kukaa kusema hv au vile
Ahsante Bonny kwa kuliona hill.Wengine walidroo na Mwadui pale Shamba la Bibi.
 
Kuna fact gani na nyie mna kikosi kipana cha bilioni 1.3. Hakuna timu inawafikia kati ya hizo big 5 zilizocheza na Mwadui.
Huo ni usajili...kinachofuata ni soka ambayo huamuliwa uwanjani.
PSG wametumia gharama kubwa lakini bado wamehangaishwa na Real ya Zidane ambayo ilisajili kitambo sana.
 
Back
Top Bottom