Simba imerudi shimoni ilikokuwa, haina tofauti na Gor Mahia

Mpenzi ahami timu.. ww ni shabiki tuu. Ulitegemea mambo muhimu ya uendeshaji wa club yajadiliwe kwenye kikao na wabunge? Mpira una ujasusi ndani yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tahira hilo kama matahira mengine
 
Bajeti ya Simba mmeivalia kibwebwe..mkisema haitoshi kwani mnajua matumizi yake??
 
We Utopolo hivi unajua Simba champions league ijayo haitacheza zile mechi za mwanzo?! Kama hujui ndiyo hivyo halafu endelea kusema hicho unachosema
 
Bora iwe hivyo nyeusi iitwe nyeusi sio nyie wanafki mtaita nyeupe
Team la hovyo bado mnalitetea viongozi waongo wanawaona hamnazo
Kwani lazima uishabikie Simba?... Hamia Utopoloni umfuate Manara...🀣🀣
 
Bora iwe hivyo nyeusi iitwe nyeusi sio nyie wanafki mtaita nyeupe
Team la hovyo bado mnalitetea viongozi waongo wanawaona hamnazo
Nenda mwana kwenda,kwani wakati umeanza kuishabikia Simba ulitupa taarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…