Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Tahira hilo kama matahira mengineMpenzi ahami timu.. ww ni shabiki tuu. Ulitegemea mambo muhimu ya uendeshaji wa club yajadiliwe kwenye kikao na wabunge? Mpira una ujasusi ndani yake😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tahira hilo kama matahira mengineMpenzi ahami timu.. ww ni shabiki tuu. Ulitegemea mambo muhimu ya uendeshaji wa club yajadiliwe kwenye kikao na wabunge? Mpira una ujasusi ndani yake😂😂😂
Utahira wako ulianzia hapa huna hata taarifa ya uyasemayo KIAZI CHANJANO WEWEWenzetu yanga bajeti yao wameiweka 24 billion sisi eti tukapandisha pia!
We Utopolo hivi unajua Simba champions league ijayo haitacheza zile mechi za mwanzo?! Kama hujui ndiyo hivyo halafu endelea kusema hicho unachosemaWakuu,
Hii team yetu bwana siku zinavyosogea imekuwa jalala. Wenzetu Yanga bajeti yao wameiweka 24 billion sisi eti tukapandisha pia. Ni nini kama sio kutuona mazumbukuku?
Pili inakuwaje mchezaji analalamika hapangwi bila sababu za msingi? Yaani kiongozi anakuja na karatasi ina list tayari. Hayo mambo hufanya Gor Mahia huko Kenya how simba?
Kikao chetu cha juzi na wabunge kutwa tunaiongelea Yanga wakati wao wanaongelea yao.
Tusipoangalia tutashuka daraja kabisa, hivi vikao vya kula ubwabwa na wanzuki havitufai wala kuisogeza team popote.
Hatuna tofauti na gor mahia tena hata hao wametuzidi, yanga wenzetu wako mbali sana. Kikao chetu ungesema kundi la walevi wamekutana yaani ni aibu.
Nahama hill li team.
Kwani lazima uishabikie Simba?... Hamia Utopoloni umfuate Manara...🤣🤣Bora iwe hivyo nyeusi iitwe nyeusi sio nyie wanafki mtaita nyeupe
Team la hovyo bado mnalitetea viongozi waongo wanawaona hamnazo
Nenda mwana kwenda,kwani wakati umeanza kuishabikia Simba ulitupa taarifa?Bora iwe hivyo nyeusi iitwe nyeusi sio nyie wanafki mtaita nyeupe
Team la hovyo bado mnalitetea viongozi waongo wanawaona hamnazo