Simba imesajili wachezaji ambao ni reject kwenye timu walizotoka

Hata mzungu, okwa, akpan,kapama Kibu d kyombo wote tulisema na wamefloo wote
Babu Onyango, Usajili ni kama kucheza kamali. unaweza kupata au ukakosa, ukifuatilia sajili za nyuma utakubaliana na mimi. Ndiyo maana mimi binafsi huwa nasubiria kuona matunda ya usajili.
Mpira tunauangalia kwa macho tofauti. Mpira wetu umetawaliwa na vitu vingi sana, kuna kukurupuka, yaani unakurupuka kusajili mchezaji hata huna mipango naye mradi tu umemuona kafanya vizuri kwenye timu X.
Kuna kubania yaani unasajili mchezaji hata kama hukumtaka kwa hofu tu huyu akienda timu nyingine watafaidi.
kuna udhaifu mkubwa sana kwenye technical teams kwenye vilabu vyetu sababu unasajili mchezaji bila hata kumfuatilia kwamba huyu ataendana na pressure ya timu yetu!
Kuna usajili wa kuridhisha tu mashabiki ambao wameangalia clips za mchezaji kwenye U -tube, hata kama ni za mwaka 2001 wakadhani kuwa 2022/23 mchezaji atakuwa vilevile.
Mchezaji anaweza akawa mzuri lakini asifiti kwenye timu kwa sababu mbalimbali ikiwepo kutoelewana na wenzake sababu ya inferiority complex za wenyeji aliowakuta, au kocha akaiogopa profile ya mchezaji akashindwa kuendana naye, au mchezaji anafika kwenye timu anakutana na mazingira tofauti na kile kilichokuwa stated kwenye contract agreements au "manbo yetu ya kiswahili" (hii anajua zaidi Mecky Mexime mimi siwezi kuizungumzia sana).
Kwa hiyo, mara nyingi sisi huwa tunafanya "players recruitment" na si usajili katika maana ya kuimarisha timu.
 
MO NI MUONGO MUONGO MNO.

CHUPLI NYINGI SANA.

HELA YA DUBAI INGEWEZA KUSAJILI NA KUVUNJA MKATABA WA WA MCHEZAJI WA MAANA
 
Yule aziza kii mshahara 27m kwa mwezi, je, aliwasaidia caf cl?
Kii kashaludisha gharama za usajili, goli lake kule tunisia tayari liliingizia Yanga million 500

Una jengine? Wewe toa jibu okwa, na Akpan wameiletea Simba hasara kiasi gani? Maana naskia mmewapeleka Kwa mkopo ihefu huku nyie mkiendelea kuwalipa mshahara [emoji848][emoji848]
 
Kweli kama utopolo walivyotoa mil600 kwa metacha mnata duka pale singida
 
Kii kashaludisha gharama za usajili, goli lake kule tunisia tayari liliingizia Yanga million 500

Una jengine? Wewe toa jibu okwa, na Akpan wameiletea Simba hasara kiasi gani? Maana naskia mmewapeleka Kwa mkopo ihefu huku nyie mkiendelea kuwalipa mshahara [emoji848][emoji848]
Bigrimana na kambole wameitia yanga hasara kiasi gani?
 
Huu ndio ukweli ndugu zangu wa Simba. Wachezaji wote mliosajili ni wale ambao hawakuwa key players kwenye timu zao
Usajili umefungwa hadi dirisha kubwa 2023. Iliyobaki ni kandanda kupigwa uwanjani. Key players na wasio key players wote watapambana. Kumbuka hata Bigirimana alikuwa key player kule Newcastle
 
Huu ndio ukweli ndugu zangu wa Simba. Wachezaji wote mliosajili ni wale ambao hawakuwa key players kwenye timu zao, yaani kiufupi ni kuwa hawakuitajika na Wala hawakuwa na umuhimu wowote.

Wachezaji wa aina hii mara zote Huwa ni wa gharama nafuu au unaweza kuwapata Bure kabisa maana ni wabovu.

Simba imeingia cha kike tena kwa mara nyingine na safari hii Mo lazima atuachie timu yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watanzania lini mtakubaliana na kusapotiana, mara ngapi tumaona mchezaji ni bora anauzwa huku hafai ila kwingine anapaform.UCHAWI ULIZALIWA TANZANIA.
 
Huu ndio ukweli ndugu zangu wa Simba. Wachezaji wote mliosajili ni wale ambao hawakuwa key players kwenye timu zao, yaani kiufupi ni kuwa hawakuitajika na Wala hawakuwa na umuhimu wowote.

Wachezaji wa aina hii mara zote Huwa ni wa gharama nafuu au unaweza kuwapata Bure kabisa maana ni wabovu.

Simba imeingia cha kike tena kwa mara nyingine na safari hii Mo lazima atuachie timu yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa ila haikuhusu👌
 
Babu Onyango, Usajili ni kama kucheza kamali. unaweza kupata au ukakosa, ukifuatilia sajili za nyuma utakubaliana na mimi. Ndiyo maana mimi binafsi huwa nasubiria kuona matunda ya usajili.
Mpira tunauangalia kwa macho tofauti. Mpira wetu umetawaliwa na vitu vingi sana, kuna kukurupuka, yaani unakurupuka kusajili mchezaji hata huna mipango naye mradi tu umemuona kafanya vizuri kwenye timu X.
Kuna kubania yaani unasajili mchezaji hata kama hukumtaka kwa hofu tu huyu akienda timu nyingine watafaidi.
kuna udhaifu mkubwa sana kwenye technical teams kwenye vilabu vyetu sababu unasajili mchezaji bila hata kumfuatilia kwamba huyu ataendana na pressure ya timu yetu!
Kuna usajili wa kuridhisha tu mashabiki ambao wameangalia clips za mchezaji kwenye U -tube, hata kama ni za mwaka 2001 wakadhani kuwa 2022/23 mchezaji atakuwa vilevile.
Mchezaji anaweza akawa mzuri lakini asifiti kwenye timu kwa sababu mbalimbali ikiwepo kutoelewana na wenzake sababu ya inferiority complex za wenyeji aliowakuta, au kocha akaiogopa profile ya mchezaji akashindwa kuendana naye, au mchezaji anafika kwenye timu anakutana na mazingira tofauti na kile kilichokuwa stated kwenye contract agreements au "manbo yetu ya kiswahili" (hii anajua zaidi Mecky Mexime mimi siwezi kuizungumzia sana).
Kwa hiyo, mara nyingi sisi huwa tunafanya "players recruitment" na si usajili katika maana ya kuimarisha timu.
Afadhali yako akili zako ni nyingi.
 
Pia metacha mnata chuma hiki milion 120 kutoka singida awatak mkopo wala free yanga juu sana
 
Mtoa mada unataka kusema Joyce monalisa (free agent) alikuwa key player huko alikotoka?, Bangala , aucho walikuwa wanakula ubao Tu timu za kaskazini au ndo key players WA benchi, bila kumsahau bigirimana key player WA Newcastle [emoji23] na kina kisinda nao naona walikuwa makey players kwenye timu zao
 
Huyo Musonda leo amefanya nini cha maana?! Sisi garasa letu Saido mechi ya kwanza alitoka na mpira
 
Back
Top Bottom