Simba imeshamshinda kuanzia leo, asubiri kufurumushwa muda sio mrefu

Kwahyo unafananisha phiri na kibu,???we jamaa hauko siriazi ujue
 
Hamna kocha mle
 
Salim anaenda kumuweka bench hadi Manula hata akipona Vipi.😁.
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha.....
Msimu uliopita kila walipofungwa kocha alijitetea kwamba, timu hajaiandaa yeye kwenye pre season.sasa msimu huu alipewa muda wa kutosha tena ulaya sehem tulivu, uwanja uliotulia lakini naona shida iko palepale.
Hakuna kocha hapo.
 
Mbna mnamsingizoa kocha wakati okwa kashasema
 
Hakuna kocha pale.

Tungepata kocha anaelijua soka la kiafrica ingekua safi.
 
Yani mimi naona kama naota siamini kilichotokea jana yani adi Boko anacheza lakini phiri anakaa bench? Dakika 90 uyu kenge wa kibrazil arudi kwao tu akacheze paranawe
 
kuhusu phiri robertinyo hahusiki kaelekezwa asimtumie
 
Maadam wewe sio kocha, mambo ya kapangwa nani, kawekwa benchi nani achana nayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…