Simba imeshamshinda kuanzia leo, asubiri kufurumushwa muda sio mrefu

Kwahyo unafananisha phiri na kibu,???we jamaa hauko siriazi ujue
 
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?

Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?

Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Hamna kocha mle
 
Salim anaenda kumuweka bench hadi Manula hata akipona Vipi.😁.
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha.....
Msimu uliopita kila walipofungwa kocha alijitetea kwamba, timu hajaiandaa yeye kwenye pre season.sasa msimu huu alipewa muda wa kutosha tena ulaya sehem tulivu, uwanja uliotulia lakini naona shida iko palepale.
Hakuna kocha hapo.
 
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?

Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?

Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Mbna mnamsingizoa kocha wakati okwa kashasema
 
Hakuna kocha pale.

Tungepata kocha anaelijua soka la kiafrica ingekua safi.
 
Yani mimi naona kama naota siamini kilichotokea jana yani adi Boko anacheza lakini phiri anakaa bench? Dakika 90 uyu kenge wa kibrazil arudi kwao tu akacheze paranawe
 
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwanini uendelee kubaki nae wakati msimu haujaanza bro? Hivi kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?

Hivi kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?

Robertinho usije ukasema Mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
kuhusu phiri robertinyo hahusiki kaelekezwa asimtumie
 
Maadam wewe sio kocha, mambo ya kapangwa nani, kawekwa benchi nani achana nayo!
 
Back
Top Bottom