Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kocha mleHivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?
Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?
Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Mbona ghafla!!Na limfikie haswaaa...tumemchoka tena tumechoka haswaaa...sijui ana matatizo gani...
[emoji1787][emoji1787]Ngoja nimuite KIBU DEE MTOMBANGILE
Mbna mnamsingizoa kocha wakati okwa kashasemaHivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?
Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?
Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Tatizo wamezoea kushinda 5-0, 6-0, 7-0 ... siyo kama sisi Utopolo 1-0, 2-1, 3-3Shabiki maandazi hawa. Umeshinda game bado unalalamika nini! Nyie ndio mnaotuharibia mpira
kuhusu phiri robertinyo hahusiki kaelekezwa asimtumieHivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwanini uendelee kubaki nae wakati msimu haujaanza bro? Hivi kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?
Hivi kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?
Robertinho usije ukasema Mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Uache kumchoka mkeo uje umchoke tinho. Uto akili zimehamia makalioniNa limfikie haswaaa...tumemchoka tena tumechoka haswaaa...sijui ana matatizo gani...
Maadam wewe sio kocha, mambo ya kapangwa nani, kawekwa benchi nani achana nayo!Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwanini uendelee kubaki nae wakati msimu haujaanza bro? Hivi kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?