AsanteSTARTIMES
Unazipata wapi picha ?Hakuna hata redio inayotangaza
channel gani hiyo?
poafuatilia mwanasipot facebook au simba app kule
duuhh hizo nguzo za score board kama za daraja...
hahahahahaha. ila simba kama walivyosema wamekwenda kulinda ushindi otherwise wakifunguka tu wataliaduuhh hizo nguzo za score board kama za daraja...