Simba imesonga mbele baada kuifunga Gendarmerie goli 1 kwa bila

Simba imesonga mbele baada kuifunga Gendarmerie goli 1 kwa bila

Hakuna uzito apo tushapita tuangalie round ijayo hii tushamaliza
 
dk 67: 0-1


28167869_929871377171878_4369107241783644046_n.jpg
 
Hii timu ya simba huwa naifananisha sana na barca. Yaani wamekosa kabisa ushindani msimu huu.
 
Basi kwisha Habari!! Wa matopeni imrkuwaje? Au hawajacheza leo?
 
Back
Top Bottom