Kabisa mkuu,muda wote wanaanzisha ligi za kitoto mnoo ili mradi tu wabishane..inasikitisha sanaKUNA MADA ZA KITOTO HUMU HATARI.
Jamii Forums kuna utoto mwingi mnoo,muda wote ni ligi za kijinga tu.
Hakika mkuu hadi panachukiza, mambo ya maana yamepungua sana.Jamii Forums kuna utoto mwingi mnoo,muda wote ni ligi za kijinga tu.
Kweli kabisaNa akawala goli nne
Naweza kukuajiri .....We limbukeni unajaza server tu, huo muda wa kuanzisha hizi threads utumie kujitafakari maisha yako binafsi siyo kila muda umechizika na utopolo united yako.
Huwazi lolote wala chochote ni utopolo tupu.
Hata washabiki wenzako wanakuona mjinga tu[emoji706]
This is too much!
Yah mzeeKweli kabisaView attachment 2575370
Siwezi kuwa na boss "mpumbavu" anayejaza server ujinga badala ya hoja.Naweza kukuajiri .....
Comment ya mtu alietoka kupiga highlifeSiwezi kuwa na boss "mpumbavu" anayejaza server ujinga badala ya hoja.
Huna tofauti na wanaolazimisha ushoga ukubalike![emoji706]
Unang'ang'ania ujinga badala ya kupokea maarifa. Wanaume hatuko hivyo.
Ushabiki wa Simba na Yanga usikuwehushe. Kaa chini tafakari.
Yaani scroll mbili tatu za thread nakutana na majigambo yasiyo na maana ya kujipiga kifua utopolo united kama vile imeleta kombe la club world cup!
Comment ya mbu mbumbuSiwezi kuwa na boss "mpumbavu" anayejaza server ujinga badala ya hoja.
Huna tofauti na wanaolazimisha ushoga ukubalike![emoji706]
Unang'ang'ania ujinga badala ya kupokea maarifa. Wanaume hatuko hivyo.
Ushabiki wa Simba na Yanga usikuwehushe. Kaa chini tafakari.
Yaani scroll mbili tatu za thread nakutana na majigambo yasiyo na maana ya kujipiga kifua utopolo united kama vile imeleta kombe la club world cup!
Ukutane na as vita wapi huko kwa maluza? Wakati tulimbanjua 4-1 taifa na mume wenu yule ng’ombe wa kimasai akiwa ndaniUr request...... accepted
Round hii as vita wametukimbia....but tukikutana nao tutawalipia