Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadai kuwa As Vita alikuwa ni Vipers mtupu wakati anafungwa na Simba Sc, ila unasahau kwamba karibia nusu ya kikosi chenu cha sasa kilikuwa As Vita wakati huo.Vita ilikuwa ni vipers mtupu
Ukiwa hapohapo UDSM.?Naweza kukuajiri .....
Tangu soka lianze simba ndio timu iliyofungwa zaidi na Yanga( wananchi)Yanga imewahi kuchapwa 5 na simbaView attachment 2580317
Hio haifanyi kuwa walikuwa wakali...... ushindi unabebwa na vitu vingUnadai kuwa As Vita alikuwa ni Vipers mtupu wakati anafungwa na Simba Sc, ila unasahau kwamba karibia nusu ya kikosi chenu cha sasa kilikuwa As Vita wakati huo.
Mayele, Djuma, Moroko, Bangala, Kisinda..nk wote walikuwa pale.
[emoji23][emoji23]
PO LEHayo Makombe ya kuku siyo level yetu mkuu
Uto mmeifunga Mazembe ipi? Umeweka na kikosi Cha Mazembe Cha wakati huo . Linganisha Basi na Mazembe ya Sasa.Baada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani)
Najua makolo mmesahau
Leo Baada ya kutulia na kuanza kufuatilia historia ya soka hapa bongo ndipo nmeona hii habari kuwa mwaka 2019 makolo wamewahi kuchapika kichapo heavyweight Kwa Tp Mazembe 4 ____1 Kwa timu hii hii ambayo imenyanyaswa na wananchi
Wafungaji wa Tp Mazembe
K. Chongo
M. Elia
T. Mputu
J. Muleka
NB: Be proud tumewalipia kisasi View attachment 2575230
Hapo vipi, hamsemiBaada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani)
Najua makolo mmesahau
Leo Baada ya kutulia na kuanza kufuatilia historia ya soka hapa bongo ndipo nmeona hii habari kuwa mwaka 2019 makolo wamewahi kuchapika kichapo heavyweight Kwa Tp Mazembe 4 ____1 Kwa timu hii hii ambayo imenyanyaswa na wananchi
Wafungaji wa Tp Mazembe
K. Chongo
M. Elia
T. Mputu
J. Muleka
NB: Be proud tumewalipia kisasi View attachment 2575230
Yanga imewahi kuchapwa 6-0 na Raja Casablanca pia kuchwapwa 5-0 na Simba, ushahidi huu hapa:Baada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani)