3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Na utopolo anaongozwa kukandwa vipigo heavy na simbaYanga anaongoza kumpiga simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na utopolo anaongozwa kukandwa vipigo heavy na simbaYanga anaongoza kumpiga simba
Kwani wewe umefungwa kujitafakari juu ya Maisha y'ako!!! Kha 😀😀😀😀We limbukeni unajaza server tu, huo muda wa kuanzisha hizi threads utumie kujitafakari maisha yako binafsi siyo kila muda umechizika na utopolo united yako.
Huwazi lolote wala chochote ni utopolo tupu.
Hata washabiki wenzako wanakuona mjinga tu[emoji706]
This is too much!
Umeona hapo..hiyo ilikuwa Mazembe ya Champions siyo hii Mazembe ya Malooser wewe ....Baada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani)
Najua makolo mmesahau
Leo Baada ya kutulia na kuanza kufuatilia historia ya soka hapa bongo ndipo nmeona hii habari kuwa mwaka 2019 makolo wamewahi kuchapika kichapo heavyweight Kwa Tp Mazembe 4 ____1 Kwa timu hii hii ambayo imenyanyaswa na wananchi
Wafungaji wa Tp Mazembe
K. Chongo
M. Elia
T. Mputu
J. Muleka
NB: Be proud tumewalipia kisasi View attachment 2575230
Na simba ndiyo inayoongoza kuishushia Yanga vipigo vikali hadi vya magoli 6 ,5 , 5, 4Lkn Yanga ndio timu inayoongoza kumfunga simba
Si ungemalizia tu na hiiKwa niaba ya mashabiki wa Simba, nawapongeza Yanga kwa kulipa kisasi kwa Mazembe. Ombi lingine ni Yanga itusaidie pia kumfunga Vita, ule mkono waliotupiga ilikuwa ni udhalilishaji wa aina yake. Naweka na ushahidi hapa. View attachment 2575270
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Tunazungumzia mechi za kimataifaSi ungemalizia tu na hiiView attachment 2575970View attachment 2575971
Umeona vya simba vinakudharirisha ee!!! Haya cha kimataifa hiki hapa kama unakitaka
[emoji23]Si ungemalizia tu na hiiView attachment 2575970View attachment 2575971
Yaani hivyo vipigo vyote mnyama simba alichukua vikombeMlichukua kombe mara ngapi ....kutokana na hivyo vpgo[emoji23][emoji23]
Simba imewahi kuchapwa 4-1 na TP Mazembe
Au tuweke na wafungaji kabisa? Maana hadi golikipa alifunga 🤣🤣🤣
Na mazembe ya sasa ni mbeya kwanza mtupuVita ilikuwa ni vipers mtupu