Simba imewahi kuchapwa 4-1 na TP Mazembe

Simba imewahi kuchapwa 4-1 na TP Mazembe

We limbukeni unajaza server tu, huo muda wa kuanzisha hizi threads utumie kujitafakari maisha yako binafsi siyo kila muda umechizika na utopolo united yako.

Huwazi lolote wala chochote ni utopolo tupu.

Hata washabiki wenzako wanakuona mjinga tu[emoji706]

This is too much!
Kwani wewe umefungwa kujitafakari juu ya Maisha y'ako!!! Kha 😀😀😀😀

Why umpangie mtu cha kupost

Uhuru wa habari ndio huu Sasa!! Ndio maana ya jf kuanzishwa!!!
 
Kwani wewe umefungwa kujitafakari juu ya Maisha y'ako!!! Kha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Why umpangie mtu cha kupost

Uhuru wa habari ndio huu Sasa!! Ndio maana ya jf kuanzishwa!!!
Mbu Mbu mbu akili wazitoe wapi sasa
 
U
Baada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani)

Najua makolo mmesahau

Leo Baada ya kutulia na kuanza kufuatilia historia ya soka hapa bongo ndipo nmeona hii habari kuwa mwaka 2019 makolo wamewahi kuchapika kichapo heavyweight Kwa Tp Mazembe 4 ____1 Kwa timu hii hii ambayo imenyanyaswa na wananchi

Wafungaji wa Tp Mazembe

K. Chongo

M. Elia

T. Mputu

J. Muleka

NB: Be proud tumewalipia kisasi View attachment 2575230
Umeona hapo..hiyo ilikuwa Mazembe ya Champions siyo hii Mazembe ya Malooser wewe ....
 
Kwa niaba ya mashabiki wa Simba, nawapongeza Yanga kwa kulipa kisasi kwa Mazembe. Ombi lingine ni Yanga itusaidie pia kumfunga Vita, ule mkono waliotupiga ilikuwa ni udhalilishaji wa aina yake. Naweka na ushahidi hapa. View attachment 2575270

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Si ungemalizia tu na hii
Screenshot_20230404-112812.jpg
IMG-20220919-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom