Simba imewahi kuchapwa 4-1 na TP Mazembe

Yanga imewahi kuchapwa 5 na simba
JamiiForums1291591030.jpg
 
Vita ilikuwa ni vipers mtupu
Unadai kuwa As Vita alikuwa ni Vipers mtupu wakati anafungwa na Simba Sc, ila unasahau kwamba karibia nusu ya kikosi chenu cha sasa kilikuwa As Vita wakati huo.

Mayele, Djuma, Moroko, Bangala, Kisinda..nk wote walikuwa pale.

[emoji23][emoji23]
 
Hio haifanyi kuwa walikuwa wakali...... ushindi unabebwa na vitu ving
 
Baada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani)

Najua makolo mmesahau

Leo Baada ya kutulia na kuanza kufuatilia historia ya soka hapa bongo ndipo nmeona hii habari kuwa mwaka 2019 makolo wamewahi kuchapika kichapo heavyweight Kwa Tp Mazembe 4 ____1 Kwa timu hii hii ambayo imenyanyaswa na wananchi

Wafungaji wa Tp Mazembe

K. Chongo

M. Elia

T. Mputu

J. Muleka

NB: Be proud tumewalipia kisasi View attachment 2575230
Uto mmeifunga Mazembe ipi? Umeweka na kikosi Cha Mazembe Cha wakati huo . Linganisha Basi na Mazembe ya Sasa.

Mmemfunga marehemu mnasherehekea.
 
Hapo vipi, hamsemi
Screenshot_20230408-184403.jpg
 
Uto mmeifunga Mazembe ipi? Umeweka na kikosi Cha Mazembe Cha wakati huo . Linganisha Basi na Mazembe ya Sasa.

Mmemfunga marehemu mnasherehekea.
hata Mazembe ya Sasa ni kali .....sema tu political issues.....zinaiyumbisha
 
Baada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani)

Najua makolo mmesahau

Leo Baada ya kutulia na kuanza kufuatilia historia ya soka hapa bongo ndipo nmeona hii habari kuwa mwaka 2019 makolo wamewahi kuchapika kichapo heavyweight Kwa Tp Mazembe 4 ____1 Kwa timu hii hii ambayo imenyanyaswa na wananchi

Wafungaji wa Tp Mazembe

K. Chongo

M. Elia

T. Mputu

J. Muleka

NB: Be proud tumewalipia kisasi View attachment 2575230
Yanga imewahi kuchapwa 6-0 na Raja Casablanca pia kuchwapwa 5-0 na Simba, ushahidi huu hapa:
jamiiforums1291591030-jpg.2581101

Leta hoja nyingine ipate majibu!!
 
Back
Top Bottom