Simba ina makipa sita(6) wote hao wa kazi gani?

Simba ina makipa sita(6) wote hao wa kazi gani?

Chelsea ina magoli kipa 10 je unaona wangapi kwenye mechi?
 
Camara
Aishi Manula
Ayubu Lakred
Husein Abel
Ally Feruz
Ally Salim katoro

Hii huenda ikawa rekodi ya aina yake,kwa nini wasibaki wanne tu mkasajili wachezaji wa ndani
Hayakuhusu
 
Angebaki Camara, Katoro na Abel hao wangine wangeuzwa au kupelekwa kwa mkopo kulinda vipaji vyao.
 
Simba wana shida ya afya ya akili
Sio kweli, yan utumie madawa ya kulevya na kuvuta mashisha kuchapana makonde kambini kugmbaniwa na kulala na malaya wa sinza, kutembea uchi kwenye viwanja vya mpira usiku halaf wewe ndio ujione una akili kuliko wengine ? [emoji23]
Mbwa wewe.
 
Back
Top Bottom