Simba ina mashabiki "passionate" wenye hisia na timu yao

Uo ni u mbumbumbu bobevu, Yanga imeanzishwa miaka mingi lakini hujasikia shida za ku ng'oa viti kwa miaka yote.

Kwa mujibu wa takwimu za Tff Yanga ndio timu ambayo mashabiki wake wamekua waki ingia uwanjani kwa wingi na wamekua wakiongoza kwa kujaa uwanja na kuzi zidi timu zote za Ligi kuu.
Ata wakati inapitia kipindi kigumu Cha michango( bakuli) Bado takwimu zilionyesha Yanga inaingiza mashabiki wengi inapo cheza kuliko timu yoyote Nchini.
Simba wamekua na mambo ya hovyo kwa muda mrefu, kung'oa viti kwao limeshakua jambo la kawaida, ku adhibiwa mfululizo na Tff , CAF kwa mambo ya kishirikina na utovu wa nidhamu ni kawaida.
Hata ivyo imefanyika juhudi kubwa nyuma ya pazia ikihusisha fedha ili kupigwa Rungu stahili.
CAF walitaka muwe mfano kwa malalamiko ya timu nyingi dhidi ya Simba kwa vitendo viovu mlivyo wahi kufanya uko nyuma.
Ni pesa ya Hongo kwa maofisa wa CAF ndicho kilicho wafanya mpigwe Rungu la kishkaji la Sivyo mngejuta.

Acheni ushamba ,Fanyeni usajili wa maana kuepuka kupata matokeo yenye njia chafu nyuma ya pazia na kusababisha timu nyingi kulalamika na kufanya vurugu baada ya mchezo.
 
Samata alichukuliwa Simba wakati gani, Ochan, okwi, chama, konde boy .
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
 
Mna majina mawili tu na mnayapenda sana.
1-Chura.
2-Utopolo.
Yamewakaa barabara kama dereva mzee na bedford lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…