Simba ina mengi ya kujifunza kwa Petro de Luanda

Bajeti ya timu zetu plus usajili wa zimamoto na kugroom timu za vijana ni tatizo, mpira ni sayansi hasa kama hadi leo iwe simba au yanga wanategemea waganga wa vienyeji unadhani kuna kutoboa kweli, na ndio maana hata timu yetu ya taifa hua haifiki popote matatizo ni mengi mno
 
Hawa jamaa wanacheza kama wako kwao.
Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini.
Unatazama soka mpaka unafurahia.
Tuna mengi sana kujifunza kwa nia nzuri tu!
Mkuu naiangalia hii Mbungi, dah hawa waangola wanaupiga, sishangai wakifuzu, wako vizuri sana, nadhani kuna wabrazil na wareno kikosi chao..wana piga pasi za hatari..
 
Wafuzu kuelekea wapi? Walishabugizwa goli tatu kule kwao, hakukuwa na mantiki ya wao kupaki basi na wakati wanahitaji kutafuta magoli(hata kama wako ugenini). Sasa wapaki basi ili iweje sasa.

Nenda kaangalie mechi yao na Mamelod kule SA jinsi walivyopaki basi.
 
Hawakupark basi SA, mechi likuwa ngumu ila waliwaweza Mamelodi kwa kiasi kikubwa.
 
Mkuu naiangalia hii Mbungi, dah hawa waangola wanaupiga, sishangai wakifuzu, wako vizuri sana, nadhani kuna wabrazil na wareno kikosi chao..wana piga pasi za hatari..
Ngumu kufuzu wameruhusu goli tatu home
 
Kwahiyo unataka kusema kuwa Petroleos hawakupaki basi kule SA? We jamaa bwana[emoji3]
Kupaki bas ni mbinu ya mpira. Na usidhani ni kitu kepesi hivyo kupaki bas na kufaulu kusonga mbele. Uliza Simba wamechezesha walinzi karibia saba lakini kashindwa ugenini kutoboa
 
Back
Top Bottom