Simba ina mengi ya kujifunza kwa Petro de Luanda

Simba ina mengi ya kujifunza kwa Petro de Luanda

Kwa hiyo Yanga haina cha kujifunza hapo,yenye mshambuliaji mmoja tu tena ambaye mashabiki wake hawapendi akabwe ili ateteme kwa mabeki wazembe?
 
Simba hii ya beki anaemkamia Mayele...

Simba hii ya kutegemea vitochi?

Simba hii yenye safu butu ya ushambuliaji?

Labda kama watasajili wachezaji wapya wa kiwango cha CAF


Uto mnavituko
Kwahiyo mnaumiaa sana Enock kumuweka chini ya ulinzi mayele mkashindwa kutetema [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes!simba ni kweli tutajifunza kwa Petro de Luanda,Liverpool,Realmadrid etc nyie utopolo jifunzeni kwa Geita gold
 
Back
Top Bottom