NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Simba hii ya beki anaemkamia Mayele...
Simba hii ya kutegemea vitochi?
Simba hii yenye safu butu ya ushambuliaji?
Labda kama watasajili wachezaji wapya wa kiwango cha CAF
Hao sio wenzetu usajiri wao ni 22B za bongo kuna wachezaji kutoka Brazil na Portugal hapoHawa jamaa wanacheza kama wako kwao.
Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini.
ahahaha ndo maana nikasema tuna mengi ya kujifunza. Sio kwa sajili hizi.Simba hii ya beki anaemkamia Mayele...
Simba hii ya kutegemea vitochi?
Simba hii yenye safu butu ya ushambuliaji?
Labda kama watasajili wachezaji wapya wa kiwango cha CAF
Jamaa wamejipanga vizuri. Tuna safari ndefuHao sio wenzetu usajiri wao ni 22B za bongo kuna wachezaji kutoka Brazil na Portugal hapo
Afadhali wewe umeongea kitu cha maana kuhusu usajili kwa timu zetuHao sio wenzetu usajiri wao ni 22B za bongo kuna wachezaji kutoka Brazil na Portugal hapo
Mkuu naiangalia hii Mbungi, dah hawa waangola wanaupiga, sishangai wakifuzu, wako vizuri sana, nadhani kuna wabrazil na wareno kikosi chao..wana piga pasi za hatari..Hawa jamaa wanacheza kama wako kwao.
Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini.
Unatazama soka mpaka unafurahia.
Tuna mengi sana kujifunza kwa nia nzuri tu!
Watu mnajua kukuza mambo madogo yanekane makubwa😂, ni kweli wamesajili kwa hela ndefu ula hilo swala la 22B kadanganye kwenye magenge ya kahawa.Hao sio wenzetu usajiri wao ni 22B za bongo kuna wachezaji kutoka Brazil na Portugal hapo
Hakuna timu isiyofungwa.Lakin wamekalia tatu kwao
Wafuzu kuelekea wapi? Walishabugizwa goli tatu kule kwao, hakukuwa na mantiki ya wao kupaki basi na wakati wanahitaji kutafuta magoli(hata kama wako ugenini). Sasa wapaki basi ili iweje sasa.Mkuu naiangalia hii Mbungi, dah hawa waangola wanaupiga, sishangai wakifuzu, wako vizuri sana, nadhani kuna wabrazil na wareno kikosi chao..wana piga pasi za hatari..
Hawakupark basi SA, mechi likuwa ngumu ila waliwaweza Mamelodi kwa kiasi kikubwa.Wafuzu kuelekea wapi? Walishabugizwa goli tatu kule kwao, hakukuwa na mantiki ya wao kupaki basi na wakati wanahitaji kutafuta magoli(hata kama wako ugenini). Sasa wapaki basi ili iweje sasa.
Nenda kaangalie mechi yao na Mamelod kule SA jinsi walivyopaki basi.
Kwahiyo unataka kusema kuwa Petroleos hawakupaki basi kule SA? We jamaa bwana😀Hawakupark basi SA, mechi likuwa ngumu ila waliwaweza Mamelodi kwa kiasi kikubwa.
Ngumu kufuzu wameruhusu goli tatu homeMkuu naiangalia hii Mbungi, dah hawa waangola wanaupiga, sishangai wakifuzu, wako vizuri sana, nadhani kuna wabrazil na wareno kikosi chao..wana piga pasi za hatari..
Kupaki bas ni mbinu ya mpira. Na usidhani ni kitu kepesi hivyo kupaki bas na kufaulu kusonga mbele. Uliza Simba wamechezesha walinzi karibia saba lakini kashindwa ugenini kutoboaKwahiyo unataka kusema kuwa Petroleos hawakupaki basi kule SA? We jamaa bwana[emoji3]