Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ni jambo la wazi kwamba simba inapendwa Sana Tanzania kuliko club yoyote ile.
Yanga ina WAPENZI wachache ukilinganisha na Simba pamoja na kulazimisha kupendwa kwa kujiita eti ni timu ya wananchi.
Sababu kuu ya yanga kutokupendwa ni rangi zake zinazofanana na CCM ikumbukwe kwamba chama hiki kina taswira mbaya katika jamii hivyo watu wakiona rangi zake wanaikumbuka ccm na mateso yanayosababishwa na chama hicho.
Ukiona mtu anaipenda yanga na haipendi ccm ujue huyo anajikaza sana basi tu afanyeje.
Yanga stukeni ccm inawaharibia.
badilini rangi mkiweza potelea mbali mkiuwa Brandi ya rangi kwa muda.