Simba ina wapenzi wengi kuliko Yanga sababu ni rangi zake kufanana na CCM

Niliwahi kusema na narudia. "Hawa ndugu zetu wa simba wana uwezo mdogo sana wa kufikiri, ukitaka kupima hilo subiri simba wafungwe wao wanalalamika boss atalalaje leo"
 
Ni jambo la wazi kwamba simba inapendwa Sana Tanzania kuliko club yoyote ile.

Yanga ina WAPENZI wachache ukilinganisha na Simba pamoja na kulazimisha kupendwa kwa kujiita eti ni timu ya wananchi.

Sababu kuu ya yanga kutokupendwa ni rangi zake zinazofanana na CCM ikumbukwe kwamba chama hiki kina taswira mbaya katika jamii hivyo watu wakiona rangi zake wanaikumbuka ccm na mateso yanayosababishwa na chama hicho.

Ukiona mtu anaipenda yanga na haipendi ccm ujue huyo anajikaza sana basi tu afanyeje.

Yanga stukeni ccm inawaharibia.
badilini rangi mkiweza potelea mbali mkiuwa Brandi ya rangi kwa muda.
Mnaye Bashite nyie Mikia
 
DINI + SIASA= UPUMBAVU
DINI+MICHEZO= UPUMBAVU
MICHEZO + SIASA=UPUMBAVU
MICHEZO+ DINI+SIASA= UPUMBAVU
 
Back
Top Bottom