Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wanangu wa simba tujuane kwenye like..
You are truly a super bug.
Unayo taarifa kuwa Tundu Lissu na Mbowe ni Yanga damu?
Like na wewe ziongezekaSad [emoji3]!comment ina masaa 16 ndio kwanza ina like 3 [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwananchi,naanzaje sasa kulike while wewe umeomba like za mikiaLike na wewe ziongezeka
Mnaye Bashite nyie MikiaNi jambo la wazi kwamba simba inapendwa Sana Tanzania kuliko club yoyote ile.
Yanga ina WAPENZI wachache ukilinganisha na Simba pamoja na kulazimisha kupendwa kwa kujiita eti ni timu ya wananchi.
Sababu kuu ya yanga kutokupendwa ni rangi zake zinazofanana na CCM ikumbukwe kwamba chama hiki kina taswira mbaya katika jamii hivyo watu wakiona rangi zake wanaikumbuka ccm na mateso yanayosababishwa na chama hicho.
Ukiona mtu anaipenda yanga na haipendi ccm ujue huyo anajikaza sana basi tu afanyeje.
Yanga stukeni ccm inawaharibia.
badilini rangi mkiweza potelea mbali mkiuwa Brandi ya rangi kwa muda.
DINI + SIASA= UPUMBAVUNi jambo la wazi kwamba simba inapendwa Sana Tanzania kuliko club yoyote ile.