Simba inaelekea wapi?

Simba inaelekea wapi?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Rage alishawahi kuwabatiza jina ambalo sio busara kulitaja hapa

1. Team ilipigwa 5 November 2023
Ila wana simba masikini washashahau

2.kwenye mkutano waliletewa manzoki na kupewa ubwabwa na chupa 1 ya pepsi big.
Wakampa kura za ndio Mangungu

3. Mo anadai team ameinunua na ni team yake binafsi.
Masikini watani hawana habari wapo wanapata faraja fake ya goli la azizi ki kukataliwa

4. Walichangishwa hela wajenge uwanja
Wakaambiwa pesa imejenga ukuta na chumba cha mlinzi,
Masikini watani wakajisahau hata hawakumbuki

5. Alikuja goal keeper Mbrazil kwa usajili wa B 1.3.
Aliishia kuumia mazoezini hakucheza hata mechi moja
Mbumbumbu wamesahau na hili

6. Mafanikio ya last season ni kibegi, na kufungua group la WhatsApp, ndo walivoambia kwenye mkutano mkuu.
Maskini mbumbumbu waliishia kushangikia kwa furaha

7.usajili uliovunja record ni ule wa Jobe na Fredi, wanacheza kama wajawazito, masikini wanasimba wenyewe hawajali

8.Jezi hazina quality kama sare za magereza. Unakuta watani hata hawatambu hilo

9. Walifanya pre season Qatar na wachezaji 7 tu.
Huku wengine wakiwa na mgomo na hakuna mbumbumbu yeyote alitambua hilo

10. Robo final ndo team pekee imepigwa nje ndani lakini maskini watani hawajali wapo busy kujifariji na bao la Azizi ki lililodhulumiwa

Chonde chonde tuwaache usingizi ili tuchukue ubingwa back to back kwa miaka 10

Nitamheshimu sana Rage kwa kuwaita watani wetu hawa jina mbumbumbu. Hakika aliona mbali ni nabii
 
Mwandiko wa mwakarobo junior kabisa, bando kanauchungu haka kadogoo😁😁
 
Wadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine.

Ni ukweli usiopingika kwamba uwekezaji wa mo na kampuni yao ya metl katika club yetu pendwa simba sport club hauna tija, hauna faida kwa simba na pia haueleweki
Tunahitaji kuwa wawekezaji wengi, ili

1. Kuwa na mtaji mkubwa,
2. Kuleta uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa timu kwa sababu viongozi hawatakuwa vibaraka mwekezaji

Tunataka wawekezaji watakao weka hela mezani na sio kwenda kununua bond bot halafu ile fida ndio uilete kuendeshea timu, huu ni uwekezaji ambao hauna tija.

Muwekezaji akitumia brand ya simba kwenye bidhaa zake anatakiwa kulipia, na ashindanishwe na makampuni mengine, kama akikosa basi.

Nawasilisha
Simba team ya Mo
Sasa mtafukuza au yeye ndo awafukuze?
 
Ukimtoa mo unashangaa,, kaja mpuuzi fred vunjabei anataka aweke hela yake na. Baba yake yote amiliki timu, aiingie mara na hamisa mobetto mara sijui demu wa ricardo momo. Mimi naona simba wafukuzwe tu wachezaji wote. Timu iundwe upya.
Ndio maana wengine bongo tulizaliwa tu, ila hatuna mipango napo maana hamna mipango.
 
Tatizo ni kanjiabai, kanjibai hajawekeza chochote simba,
 
Rage alishawahi kuwabatiza jina ambalo sio busara kulitaja hapa

1. Team ilipigwa 5 November 2023
Ila wana simba masikini washashahau

2.kwenye mkutano waliletewa manzoki na kupewa ubwabwa na chupa 1 ya pepsi big.
Wakampa kura za ndio Mangungu

3. Mo anadai team ameinunua na ni team yake binafsi.
Masikini watani hawana habari wapo wanapata faraja fake ya goli la azizi ki kukataliwa

4. Walichangishwa hela wajenge uwanja
Wakaambiwa pesa imejenga ukuta na chumba cha mlinzi,
Masikini watani wakajisahau hata hawakumbuki

5. Alikuja goal keeper Mbrazil kwa usajili wa B 1.3.
Aliishia kuumia mazoezini hakucheza hata mechi moja
Mbumbumbu wamesahau na hili

6. Mafanikio ya last season ni kibegi, na kufungua group la WhatsApp, ndo walivoambia kwenye mkutano mkuu.
Maskini mbumbumbu waliishia kushangikia kwa furaha

7.usajili uliovunja record ni ule wa Jobe na Fredi, wanacheza kama wajawazito, masikini wanasimba wenyewe hawajali

8.Jezi hazina quality kama sare za magereza. Unakuta watani hata hawatambu hilo

9. Walifanya pre season Qatar na wachezaji 7 tu.
Huku wengine wakiwa na mgomo na hakuna mbumbumbu yeyote alitambua hilo

10. Robo final ndo team pekee imepigwa nje ndani lakini maskini watani hawajali wapo busy kujifariji na bao la Azizi ki lililodhulumiwa

Chonde chonde tuwaache usingizi ili tuchukue ubingwa back to back kwa miaka 10

Nitamheshimu sana Rage kwa kuwaita watani wetu hawa jina mbumbumbu. Hakika aliona mbali ni nabii
Maandishi yote haya yamesababishwa na wachezaji watatu wa Yanga kukosa penati:
1. Aziz Ki
2. Dickson Job
3. Ibrahim Baka
 
Taratibuuu kelele za kutolewa kwa kuonewa zinapungua. Mnazoea sasa.
 
Rage alishawahi kuwabatiza jina ambalo sio busara kulitaja hapa

1. Team ilipigwa 5 November 2023
Ila wana simba masikini washashahau

2.kwenye mkutano waliletewa manzoki na kupewa ubwabwa na chupa 1 ya pepsi big.
Wakampa kura za ndio Mangungu

3. Mo anadai team ameinunua na ni team yake binafsi.
Masikini watani hawana habari wapo wanapata faraja fake ya goli la azizi ki kukataliwa

4. Walichangishwa hela wajenge uwanja
Wakaambiwa pesa imejenga ukuta na chumba cha mlinzi,
Masikini watani wakajisahau hata hawakumbuki

5. Alikuja goal keeper Mbrazil kwa usajili wa B 1.3.
Aliishia kuumia mazoezini hakucheza hata mechi moja
Mbumbumbu wamesahau na hili

6. Mafanikio ya last season ni kibegi, na kufungua group la WhatsApp, ndo walivoambia kwenye mkutano mkuu.
Maskini mbumbumbu waliishia kushangikia kwa furaha

7.usajili uliovunja record ni ule wa Jobe na Fredi, wanacheza kama wajawazito, masikini wanasimba wenyewe hawajali

8.Jezi hazina quality kama sare za magereza. Unakuta watani hata hawatambu hilo

9. Walifanya pre season Qatar na wachezaji 7 tu.
Huku wengine wakiwa na mgomo na hakuna mbumbumbu yeyote alitambua hilo

10. Robo final ndo team pekee imepigwa nje ndani lakini maskini watani hawajali wapo busy kujifariji na bao la Azizi ki lililodhulumiwa

Chonde chonde tuwaache usingizi ili tuchukue ubingwa back to back kwa miaka 10

Nitamheshimu sana Rage kwa kuwaita watani wetu hawa jina mbumbumbu. Hakika aliona mbali ni nabii
Mafanikio ya 5imba, ni kushinwa kwa Yanga..!! Na ndiyo maana wanafurahi sana lile goli la Yanga kukataliwa.

1712642020209.png
 
Back
Top Bottom