Simba inaenda kurudisha hadhi na msisimko wa Kombe la CAF Shirikisho

Simba inaenda kurudisha hadhi na msisimko wa Kombe la CAF Shirikisho

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi ulikuwa unaendelea kwa vitimu vile visivyokuwa na profile.

Imagine vitimu kama Malumo ambavyo katika ligi ya ndani vilikuwa vinaelekea kushuka daraja unavikuta viko nusu fainali. Ukiangalia kule unakutana na kitimu kinaitwa sijui Yanga kinafika hadi fainali tena kwa kusumbua timu karibu zote ila ukiangalia katimu hakana mbele wala nyuma. Anyway tuyaache hayo.

Nikiangalia kinachoenda kutokea msimu huu wa 2024-25 ni kuwa Kombe la Shirikisho litakuwa na msisimko sana ambao uaweza hata kuzidi ule wa Champions League. CL imepoteza timu kadhaa kubwa zilizokuwa zinayapa mashindano hadhi. CAF inaenda kuyapa coverage kubwa mashindano ya Shirikisho kutokana na ushiriki wa Simba.

Angalizo: Hersi ana ukaribu sana na Kaizer Chiefs, Simba inabidi icheze kwa stepu mashindano haya.
 
GQmovp4XUAAHmzl.jpeg
 
Afike fainali ya drafti labda.

Huoni wameanza kujitetea hapo mtoa uzi ili aseme safari hii shirikisho lina mechi ngumu sana kuliko championi
Kule tunaenda kukutana na wakubwa wenzetu ambao nao wamepania kukiwasha. ASEC, Vita, kama sikosei Kaizer wote hao si timu za kubeza. Hapo bado sijaongelea Berkane na Zamalek ambayo imezaliwa upya kwa wale wanaojua historia ya mpira.
 
Wydad nae upo nae huko shirikisho
 
Kule tunaenda kukutana na wakubwa wenzetu ambao nao wamepania kukiwasha. ASEC, Vita, kama sikosei Kaizer wote hao si timu za kubeza. Hapo bado sijaongelea Berkane na Zamalek ambayo imezaliwa upya kwa wale wanaojua historia ya mpira.
Kwahiyo saivi jina la maluza mnalifuta?
 
Mbumbumbu wanahaha
Yaani unatusumbua kujadili mashindano ya shirikisho
Kwa hiyo medali zile mlizozifanyia hadi gwaride mkaenda kumpa mama yenu hazina thamani tena? Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania ambayo imewahi kuleta makombe ya CAF nchini hadi walalahoi wakayaona kwa macho yao. CAF Shirikisho 1993 na AFL 2023. Usisahau hilo.

Kwahiyo saivi jina la maluza mnalifuta?
Kwani nani aliyaita hivyo?
 
Kwa hiyo medali zile mlizozifanyia hadi gwaride mkaenda kumpa mama yenu hazina thamani tena? Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania ambayo imewahi kuleta makombe ya CAF nchini hadi walalahoi wakayaona kwa macho yao. CAF Shirikisho 1993 na AFL 2023. Usisahau hilo.

Kwani nani aliyaita hivyo?
Akili zetu sio za kujadili mashindano yanayochezwa na teams za Eriteria, somalia, Djibouti,
 
Simba kama kweli yupo serious shirikisho akafike fainali.

Kama hasipofika fainali atakuwa failure tena na tena.

Maana azam wapo serious siku hizi
Azam ipii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom