Simba inaenda kurudisha hadhi na msisimko wa Kombe la CAF Shirikisho

Simba inaenda kurudisha hadhi na msisimko wa Kombe la CAF Shirikisho

Kwa hiyo medali zile mlizozifanyia hadi gwaride mkaenda kumpa mama yenu hazina thamani tena? Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania ambayo imewahi kuleta makombe ya CAF nchini hadi walalahoi wakayaona kwa macho yao. CAF Shirikisho 1993 na AFL 2023. Usisahau hilo.


Kwani nani aliyaita hivyo?
Fikeni fainali acheni taarabu
 
Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi ulikuwa unaendelea kwa vitimu vile visivyokuwa na profile.

Imagine vitimu kama Malumo ambavyo katika ligi ya ndani vilikuwa vinaelekea kushuka daraja unavikuta viko nusu fainali. Ukiangalia kule unakutana na kitimu kinaitwa sijui Yanga kinafika hadi fainali tena kwa kusumbua timu karibu zote ila ukiangalia katimu hakana mbele wala nyuma. Anyway tuyaache hayo.

Nikiangalia kinachoenda kutokea msimu huu wa 2024-25 ni kuwa Kombe la Shirikisho litakuwa na msisimko sana ambao uaweza hata kuzidi ule wa Champions League. CL imepoteza timu kadhaa kubwa zilizokuwa zinayapa mashindano hadhi. CAF inaenda kuyapa coverage kubwa mashindano ya Shirikisho kutokana na ushiriki wa Simba.

Angalizo: Hersi ana ukaribu sana na Kaizer Chiefs, Simba inabidi icheze kwa stepu mashindano haya.
Tabu iko pale pale. TABULELE ......................LAAAAAAAAAAA
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Hiki ndo kinanifanya niwakubali mashabiki wa Tanzania. Kikiwa Kwa mwenzako kibovu kikija kwako kizuri. Simba Leo wa kusifia Shirikisho waliloliita Kombe la Losers?
Alieita loser ni Manara wakati Simba wakishiriki. Baada ya Yanga kushiriki ni kama walikuwa wakiwakumbusha Kauli ya Manara.
 
Simba kama kweli yupo serious shirikisho akafike fainali.

Kama hasipofika fainali atakuwa failure tena na tena.

Maana azam wapo serious siku hizi
Azam anaenda kubutuliwa raundi ya kwanza tu. Kwenye mbio hizo hata Namungo anaizidi Azam.
 
Nadhani sasa mnanielewa nilichosema. Hii mechi dhidi ya Al Ahli ina hadhi zote za CAF hata katika level ya robo fainali. Kule kwingine sasa.....
 
Nadhani sasa mnanielewa nilichosema. Hii mechi dhidi ya Al Ahli ina hadhi zote za CAF hata katika level ya robo fainali. Kule kwingine sasa.....
 
Back
Top Bottom