Simba inaenda kurudisha hadhi na msisimko wa Kombe la CAF Shirikisho

Kule tunaenda kukutana na wakubwa wenzetu ambao nao wamepania kukiwasha. ASEC, Vita, kama sikosei Kaizer wote hao si timu za kubeza. Hapo bado sijaongelea Berkane na Zamalek ambayo imezaliwa upya kwa wale wanaojua historia ya mpira.
Wydad yupo shirikisho pia.
 
Simba kama kweli yupo serious shirikisho akafike fainali.

Kama hasipofika fainali atakuwa failure tena na tena.

Maana azam wapo serious siku hizi
Cheza kwa malengo yako, usiangalie mwingine yukoje au ana malengo gani
 
Simba mmeanza kuchanganyikiwa kabla ya mashindano kuanza.
 
Kule tunaenda kukutana na wakubwa wenzetu ambao nao wamepania kukiwasha. ASEC, Vita, kama sikosei Kaizer wote hao si timu za kubeza. Hapo bado sijaongelea Berkane na Zamalek ambayo imezaliwa upya kwa wale wanaojua historia ya mpira.
kaizer hayupo huko.
 
Simba kama kweli yupo serious shirikisho akafike fainali.

Kama hasipofika fainali atakuwa failure tena na tena.

Maana azam wapo serious siku hizi
Userious upi wa azam hata makundi tu yanamshinda? Kama unabisha onesha lini azam kaenda makundi.
 
Hiki ndo kinanifanya niwakubali mashabiki wa Tanzania. Kikiwa Kwa mwenzako kibovu kikija kwako kizuri. Simba Leo wa kusifia Shirikisho waliloliita Kombe la Losers?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…